Nimefuatilia sakata la kuripuka na kuungua kwa ofisi za IMMA na tamko la TLS na mvurugano miongoni mwa wanasheria wa nchi hii, nimegundua ni vigumu mno kupata haki ndani ya nchi hii kama watetea...
Habari wana JF
Neno tajwa hapo juu lahusika, hili neno limekua na faida na madhara makubwa sana kwenye maisha yetu sisi wanaume. Kwenye maisha ya kila siku, invoice zimetufanya tuwe wabunifu...
habari wakuu
nimeleta kwenu taarifa hii nikiamini wasomi pamoja na watu wanaojua umuhimu wa elimu wamejaa humu.
kuna kijana mmoja wa kiume(kwa sababu maalum sitaweka jina lake...
DAR ES SALAAM
MKAZI wa jijini Dar es Salaam, Khairat Omary, ameishtaki Hospitali ya Kairuki na kudai fidia ya Sh milioni 155 kwa kumsababishia matatizo katika mfuko wa uzazi yaliyofanya aondolewe...
Huwa najiuliza sana.
Kwa nini Polisi huwa wanaimarisha ulinzi mzito sana baada ya matukio kuwa yametokea. Mfano wizi ,ujambazi, mauaji, moto vikitokea na watu kutokomea, Polisi huimarisha ulinzi...
Tanga. Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk Augustine Mahiga amesema kikundi chochote cha kigaidi au kiharamia kitakachoingia katika moja ya nchi...
Ikungi.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Mtaturu ameyashauri mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanayojishughulisha na mapambano dhidi ya ukeketaji kupanua wigo kwa kuanza kutoa...
Viwanja zaidi ya 22,000 na hoteli za kifahari katika Manispaa ya Dodoma zinatarajiwa kuondolewa ili kupisha makazi ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Hali hiyo inakuja ikiwa ni miezi 11 tangu Waziri Mkuu...
Walimu wawili wa shule ya Sekondari ya Kikala wilayani Lushoto mkoani Tanga, Fredrick Shebila na Saadat Mohamed, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kufanya mapenzi na wanafunzi wawili wa...
Kama Watanzania bila kujali Umri, Itikadi zetu za Kisiasa, Jinsia, Kabila, Elimu na hali zetu za Kiuchumi kwa muda wa siku tatu mfululizo tumeweza kuhamasishana na kuhamasishwa na 'Mghaibuni...
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeagiza Shirika la Madini la Taifa (Stamico) kufuatilia Sh1.6 bilioni ambazo ni tofauti iliyokuwa inatakiwa kulipwa na kampuni ya Madini ya...
kwanza nakupa hongera kwa kuteuliwa kuwa kamanda wa kanda maalum ya DSM hakika ni mkoa wenye changamoto lukuki lkn naamini kwa ushirikano wa pamoja na ukiongeza ubunifu hakika tutafanikiwa sana...
Kuna tabia ya watu hasa wakiwa kwenye daladala unakuta mtu anaandika tu ujumbe wa kuinjika maharage kwa dada wa kazi lakini anavyoificha hiyo simu ili usione anachoandika utadhani anatuma ujumbe...
Inasikitisha! Neno hili linatosha kueleza hali halisi ya wakazi wa Kimara Stop Over hadi Kibamba CCM ambao wanalala nje baada ya nyumba zao kukumbwa na bomoabomoa.
Kazi hiyo inatekelezwa na...
Wakuu kwa muda mrefu kumekua na malalamiko kwa wafanya kazi kukatwa mishahara yao kwa ajiri ya kuchangangia vyama vya wafanya kazi like cwt,sasa habari njema ni kua kwa wasiopenda kuendelea na...
Hello! Habari!!
Leo nakuja kwako na historia ya fursa
Fursa ni nini?
Fursa ni pungufu lolote ambalo unaliona katika jamii yako au kwa mtu yoyote na kuweza kulipatia suluhisho.
Hivi unafahamu...
Ajira za nchi yetu zimekuwa kitendawili, nani wa kukitegua? Zimekuwa zikitangazwa bila ya utekelezaji.
Wanaharakati wenzangu hebu tupa maoni yako juu ya hili, je! Nini kipo nyuma ya pazia la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.