Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,239
Habari wadau natumai mpo salama,
Week 3 zilizopita nilipata wasaa wa kutembelea nchi ya israel kwa ajili ya mapumziko na mafunzo jinsi gani wenzetu wanafanya maisha yao.
Nilikua na shauku ya kujua nilichokua nakisikia kua hawa jamaa wana akili kinoma na wao huconcentrate kwenye kazi na si anasa wala mapenzi. Kiukweli hawa jamaa wanapiga kazi kupita kiasi na kilichonshangaza kila baada ya nyumba kumi wao wanalibrary na si bar kama huku home.
Hawa jamaa waajabu sana wamefanikiwa kulima sehemu ya majabali usingeweza kuidhania inaweza kulimika na wamenipa taarifa wana mavuno kama kawa, nilisikitika nikifikiria nchi yangu ilojaa mapori tunayofurahi kuyaona tukisafiri kwenda mkoani bila kuyatumia katika uzalishaji.
Hawa jamaa pia ni mafundi wa tech na wanatutengenezea magame kutuzubaisha wao wanaingiza pesa na kutumbilia vipya.ni kikubwa hawa jamaa wamewekeza katika elimu kwa kiasi kikubwa.
Hawa jamaa si viumbe wa ajabu we can be like them uvivu tu umetusumbua vijana tuamke huezi kua seriuz una amka asubuhi mpaka usiku we tv tu na movie za kutafsiriwa alalafu unalalamika hali ngumu ukiulizwa tatizo nini eti magu, ni ujinga.
[emoji767]Luqman mohamedy
Sent using Jamii Forums mobile app