TANESCO, haya makato ni ya nini?

TANESCO, haya makato ni ya nini?

uniq

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
5,089
Reaction score
31,086
Mimi ni mteja wa TANESCO kwa muda mrefu. Mwezi huu tarehe 19/8/17 nilinunua umeme na makato yake yakawa hivi. Ambapo nilikatwa TAX tu.

e1ab9b767baa96dafa602abc6b3a5ae8.jpg


Leo tarehe 29/8/17 nimenunua tena umeme nikaona kuna makato yemeongezeka.Kuna VAT, REA na EWURA. Naomba kupata ufafanuzi juu ya hili.

d60eed365f65047702b4409a9c7a41c0.jpg
 
Hebu ngoja na mimi nihakikishe.

Update.
01484502e7b9fd09fd9656c48a5f357a.jpg


Twafaaaaaaaaaaa

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Mimi nimteja wa Tanesco kwa muda mrefu. Mwezi huu tarehe 19/8/17 nilinunua umeme na makato yake yakawa hivi. Ambapo nilikatwa TAX tu.

e1ab9b767baa96dafa602abc6b3a5ae8.jpg


Leo tarehe 29/8/17 nimenunua tena umeme nikaona kuna makato yemeongezeka.Kuna VAT, REA na EURA. Naomba kupata ufafanuzi juu ya hili.

d60eed365f65047702b4409a9c7a41c0.jpg
CC TANESCO
 
Hii nchi bila watu kuzinduka tutakuja sikia siku tunaambiwa tupo America ya kati.
Yaani ishauzwa kimiakimia.
 
Tuanzie na tarehe ni zipi mlizonunua umeme....Nijuavyo ni kuwa makato yanayoongezeka ya EWURA na REA huwa yanakatwa mara moja kwa mwezi inaweza kuwa mwishoni au mwanzoni mwa mwezi. Makato haya yapo siku nyingi sio mapya ila hayawezi kuonekana katika malipo mengine ndani ya mwezi husika kwa kuwa yanakatwa mara moja...nipo tayari kusahihishwa!!!
 
Tuanzie na tarehe ni zipi mlizonunua umeme....Nijuavyo ni kuwa makato yanayoongezeka ya EWURA na REA huwa yanakatwa mara moja kwa mwezi inaweza kuwa mwishoni au mwanzoni mwa mwezi. Makato haya yapo siku nyingi sio mapya ila hayawezi kuonekana katika malipo mengine ndani ya mwezi husika kwa kuwa yanakatwa mara moja...nipo tayari kusahihishwa!!!
Ninavyojua mimi kulikuwa kunakatwa Tax tuu. Hayo makato mengine nimapya kwangu na hapo nimesha nunua mara tatu mwezi huu. Zamani makato hayo yalikuwa yanakatwa kila mwanzo wa mwezi then yakaja kuondolewa.
 
Huu ni uhuni wa hali ya juu,mwenyewe nimetoka nunua umeme juzi nikaona hayo makato. Kwanini hawatangazi?
 
Mara ya kwanza ulinunua umeme wa 50,000 ukapewa units 140.4.

Leo umenunua umeme wa 25,000 umepewa units 70.2.

Hukusoma hesabu shule ya msingi?

Ninavyojua Tanesco wanauza umeme unit moja TZS 292 bila kodi.

Pia kuna makato ya lazima ya EWURA, REA NA VAT., jumla ni 22% ya pesa yako.

Hujaibiwa chochote mkuu.
 
Back
Top Bottom