Paka katajwa sehemu gani katika Biblia? Pia kwanini anahusishwa na uchawi?

Kazi ipo, mzee ukitaka kujua ukweli nenda barabara ya Makanya teremka kwa Bibi Nyau.
 
Biblia haikuhangaika na vijitu vidogo km uchawi na vitendea kazi vyake. Lengo la biblia ni kumwoneshea mtu njia sahihi ya kuishi ili kuakisi maisha ya mtu huyo ktk ulimwengu mpya ujao baada ya Yesu kurudi mara ya pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom