Waandishi wa habari (sio wote please, nieleweke) wetu jiongeze weledi katika kazi yenu. Kuweni wabunifu na jisomee kuongeza maarifa. Acheni ushabiki wa mtu, siasa etc, maintain professionalism. Be objective.
Mfano leo katika magazeti mmeandika(sio wote, ni baadhi) kuwa Rais aipa Meno TAKUKURU. Kwa tafsiri ninavyojua kupewa Meno ni kungata pale ambapo ulikuwa huwezi kungata kwa mujibu wa sheria.
Rais hawezi kuipa meno takukuru, SHERIA NDIYO INAYOIPA MENO TAKUKURU.
Rais anachofanya ni kuiwezesha kufanya kazi vizuri. Anaipa pesa, anaitia moyo, anaiongoza kwa kutoa ushauri etc.
Wakati mwingine Presidential orders/decree zinaweza kutoa meno, kama ziko ndani ya mipaka ya sheria (kumbuka Trump Executive orders zilivyopingwa mahakamani kuwa they are against the law).
Sidhani kama rais ametoa Executive order ambayo imeipa meno TAKUKURU. I stand to be corrected!