Serikali yatangaza ajira za walimu

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imetangaza kuanza kuajiri walimu kuanzia mwishoni mwa mwezi huu,jumla ya walimu watakaoajiriwa ni elfu ishirini,
 
serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imetangaza kuanza kuajiri walimu kuanzia mwishoni mwa mwezi huu,jumla ya walimu watakaoajiriwa ni elfu ishirini,

Kwa hiyo wanaoajiliwaga ni
walimu tu! kama sio lijeulo!
Maana sijapata kusikia/kusoma
kwenye vyombo vya habari
kwamba Ooo!? wahasibu
kadhaa wataajiliwa wiki lijalo.
 
Kwa hiyo wanaoajiliwaga ni
walimu tu! kama sio lijeulo!
Maana sijapata kusikia/kusoma
kwenye vyombo vya habari
kwamba Ooo!? wahasibu
kadhaa wataajiliwa wiki lijalo.
Nadhani serikali inahitaji walimu wengi zaidi,ukilinganisha na wahasibu
 
Kwa hiyo wanaoajiliwaga ni
walimu tu! kama sio lijeulo!
Maana sijapata kusikia/kusoma
kwenye vyombo vya habari
kwamba Ooo!? wahasibu
kadhaa wataajiliwa wiki lijalo.

Hapo kuna haja ya kuhoji kwa nguvu kaka; fani zingine zinasahaulika ktk ajira sijui ni kwanini.
 
Ajira zingine hazipatikani kwa sababu ya(a)uwezo mdogo wa serikali kimapato (b)watanzania wengi wana elimu tegemezi ya kutaka waajiliwe na serikali na cio kujiajiri wenyewe.(c)mtindo wa ubifsi wa mtu.
 
Walimu walitakiwa kuwepo kazini kabla hata shule hazijafungua, kweli serikali inakiri kuwa imefulia ingawa mara kadhaa wanatoa kauli za kupinga serikali kukosa mapato.
 
Ama kwel mwaka huu wangu! Mara ajira tr 16 then mwisho wa mwez, sitashangaa kuskia nyngne kua ajira 2subr term ya pil ya masomo, yaan startng frm July. Hata hyo 2mejiandaa kuskia, w wl neva and ever gv up, 2tasubr mpaka kieleweke!
 
Back
Top Bottom