Straight to the topic:
Nimekuwa nikishuhudia kwa muda mrefu jinsi wafugaji wanavyoveka alama mifugo yao kwa kuwachoma kwa kutumia vyuma vya moto, wenyewe wanaita chapa. Kama nakumbuka vizuri, kuna wakati serikali iliwahi kuzui upigaji chapa kwa sababu ya kwamba upigaji chapa unaharibu ubora wa ngozi. Baadaye nadhani huu mtindo uliruhusiwa pengine kwa nia nzuri tu. Mimi binafsi kitendo hicho cha kuwachoma wanyama ninakiona kama ukatili kwa wanyama. Tafadhali wataalamu wa mifugo na wadau wengine kama kuna njia mbadala ambayo mnadhani tungeweza kuitumia badala ya hii ya kuchoma wanyama kwa vyuma vya moto, naomba tuishauri serikali ibadili utaratibu huu.
Asanteni. Naomba kuwasilisha.
Mods, naomba ushirikiano wenu.