A.alaykum,
Ebwana Mola anajua ubaya wa hii kitu inaitwa pombe ndomana akakataza ila bado wandewa wanakata maji.
Mtu mmja aitwae Gilpin amekua akitengeneza whiskey kwa kutumia mikojo ya wagonjwa...
SIRI 39 ZA KUWA MILIONEA;
1.Tafuta fursa kila kona
2.Tumia kipaji chako
3.Kuwa na nidhamu katika fedha- matumizi mazur ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka,usijikweze, usibague jamii...
Babu Seya na Mwanawe wamekaa Jela kwa miaka kibao, Kitilya, Sioyi, na sasa Rugemalira wote hawa wako ndani, lkn mtu mweusi anajaza serva hapa kuwapigania Manji na Singa singa waachiwe, kwa nini...
Habari rafiki,
Nimekuwa nawashauri watu ambao wanataka kuingia kwenye biashara na hawajui pa kuanzia basi waingie kwenye biashara ya mtandao (network marketing).
Huu ni mfumo bora kabisa wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu ya Eid El-Hajj huku wakiwataka kuendelea kudumisha upendo, amani, umoja na mshikamano...
Wanajukwaa,
Asubuhi hii niliamkia Ubungo stendi kuu ya Mabasi - mikoani na nchi za jirani.
Napenda kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa namna ambavyo limeendesha ukaguzi wa kila basi linalotoka...
hapa nazungumzia biashara ndogo zenye mauzo chini ya 14 millions kwa mwaka.
ukipita mitaa mingi huku uswahilini kwetu utasikia kila mmoja analia hali imekuwa ngumu.
Mama mmoja amesikika anasema...
Naona Sasa tumevuka mipaka kama tumeanza kuligusa na kutoa maneno ya dhihaka dhidi ya wapiganaji wetu yaani majeshi yetu ktk mitandao.
Najua ktk utendaji wa kazi yoyote ile mapungufu hayakosekani...
Tukio lilitoke katika kijiji cha Salunda, Bariadi Majira ya Jioni ni baada ya Mwanamke Mmoja aliegongwa na gari na Watu wasiojulikana nakisha kutupwa mtaroni, kwa mujibu ya maelezo yanasema kua...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Wallace Karia ameiagiza Bodi ya Ligi kuwachukulia hatua watendaji wote wa bodi hiyo walioboronga kwenye upangaji wa ratiba ya ligi kuu Tanzania...
I take this opportunity to wish all JF members and their families EID Mubarak. With the grace of Allah may all Tanzanians prosper in wealth, health, happiness and unity.
Breaking News:
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na kampuni ya Tigo kupinga kuwalipa wasanii AY na MwanaFA Tshs 2,185,000,000 kwa kutumia nyimbo zao bila kulipa...
Samson Petro, mwenye umri wa miaka 18 (msukuma) mkazi wa Olasiti, Arusha anatafutwa na Polisi akidaiwa kuhusika na matukio ya utekaji nyara.
Kesho zoezi la kumtafuta likaendelea na jioni zikaja...
Habari zenu wahenga!
Naandika hapa lakini mikono inatetemeka kwa hasira niliyonayo baada ya kuingia mitandao ya kijamii na kuona dhihaka kubwa inayofanywa na watu ati wanaojiita ni wazalendo...
UTUMISHI WA UMMA MTAACHA LINI KUDHALILISHA WATOTO WA MASKINI.
Waraka wa BASHIR YAKUB
+255784482959
Kuna haja gani ya kuita watu 30,000 kwenye usaili huku mkijua mnahitaji watu 400 ...
Leo nimeona maajabu, kituko, jambo la kusikitisha ambalo sikutegemea kuliona katika ofisi ya Serikali Kuu, ofisi ambayo ndio "ikulu" yetu ya Mwanza, ofisi ambayo inamwakilisha Rais.
Nimefika...
This is absurd,
Ukienda uhamiaji kufanya mchakato wa kupata passport unaulizwa maswali mengi ambayo ni ya msingi sana lakini hili suala la invitation linakera sana.
Wanalazimisha watu...
Kijana mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja alikutwa na waumin wa msikiti wa MKURANGA- Mwembechai, Manzese DSM akimlawiti mtoto wa kiume miaka 12 katika vyoo vya msikiti.
Angalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.