Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 978
- 2,314
Nahisi kutokana na gharama za uendeshaji, ila pia waangalie hali ilivyokuwa ngumu mtaani, mimi binafsi nilijua watazidi kashusha gharama za vifurushi lakini haijawa hivyo, sasa kwa sisi wapenda sports itabidi tulipie 18,000 badala ya 15,000 ili tuweze kupata channel ya sports HD. Na hizi gharama za vifurushi vinaanza kupanda rasmi 1.09.2017.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app