Wazo: Kusoma ni kupoteza muda

Wazo: Kusoma ni kupoteza muda

Kama kusoma nikupoteza muda bac kutokusoma ni kuongeza muda wa matatizo katika maisha yako, zero wewe unarukia misemo wakati chanzo cha umaskini wetu ni elimu, juzi tu benk ya dunia wamesema hatuna wasomi wa kutosha kuikuza nchi yetu
 
Bakhera ana elimu gani mkuu?:mtaani kwetu kunao matajiri kama kumi wote hawana shule
 
nao

Nahisi hujafikiria unaongelea utajiri wa namna gani, waiti utajiri ni nini isijekua unamaanisha vinginevyo tukawa kunakupinga bure
Nimefikiria mkuu nazungumzia aliomaanisha mtoa mada
 
Kataa usikatae, kusoma sana ni kupoteza mda
Wengi wanaofanikiwa sana ni wale waliopanga maisha au ambao hawajapoteza miaka yao mashulen
Kwa nchi zilizoendelea kusoma ndio dili sana
Kweli kabisa. Na jinsi unavyosoma sana unakua na hofu ya maisha kWa mambo mengi sana:-

Watu wanaopambana na maisha mapema hubaki na uzoefu na wanakua hawana sana UOGA.

Upo uwezekano WA kuoa Mke mdogo sana kiumri kwakua umechakaza ujana wako kwenye elimu isiyo na tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom