Huyu mchora katuni anamaanisha nini?

Huyu mchora katuni anamaanisha nini?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
21106680_1583461711716011_5499097580279312693_n.jpg
 
anayepiga mpira ni nani, maana kama ni no.9 inashangaza apige huku timu yake ndo imeweka ukuta
 
Hapa ni jumuia ya mawakili (TLS) inacheza mechi na serikali. Bahati timu ya TLS wanapata mpira wa adhabu (faulo, au wengine wanaita kama vile direct kick). Cha kushangaza washambuliaji wa timu ya TLS wamegeuka mabeki wa timu ya serikali, wamejipanga kuzuia mpira utakaopigwa na mpigaji wa TLS. Timu ya serikali imejiweka pembeni inachekelea tu, maana imepata walinzi wapya japo hawapo rasmi sababu hawajavaa jezi za timu ya serikali. mpigaji wa faulo wa timu TLS (ni Lissu huyu) amebaki anagunaguna tu.

Mchoro wa mtaalamu wangu King Kinya huyu.
 
umeeleweka vizur

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Anamaanisha kuwa kujiliza bungeni siyo jambo zuri. Inapunguza hata kale ka-heshima kadogo uliko bakia nako.
 
Timu ya TLS wanamwogopa mchezaji wa timu pinzani jez ya kijani no 5, mshambuliaji wa timu ya TLS jez no 9 anashangaa wenzake wanavyomuogopa mpinzani,simply lisu anafight for his own

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom