Askofu Gwajima arejea nchini

Askofu Gwajima arejea nchini

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Mchungaji wa Ufufuo na uzima amerejea nchini kutoka katika ziara alizokuwa nazo yapata miezi miwili na nusu tangu asafiri alianza ujerumani akaenda japani akaenda Australia akamalizia kwa Trump sasa amerudi kuliamsha dude kama kawaida yake
FB_IMG_1504153074888.jpg
wakati anaingia JKN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchungaji wa Ufufuo na uzima amerejea nchini kutoka katika ziara alizokuwa nazo yapata miezi miwili na nusu tangu asafiri alianza ujerumani akaenda japani akaenda Australia akamalizia kwa Trump sasa amerudi kuliamsha dude kama kawaida yakeView attachment 578920 wakati anaingia JKN

Sent using Jamii Forums mobile app
KUNA JAMAA ALIKUWA KAPUMZIKA SASA KASHESHE ITAANZA MANAKE HAWEZAGI KUTULIA LAZMA AMCHOKONOE NDUGUYE NA ILE KESI YA HUKUMU YA KUWA NA SILAHA KINYUME CHA SHERIA ITATOLEWA HUKUMU SOOON
 
Naona anakuja kuzima seduce me na zilipendwa manake ktk YouTube kuanzia mwezi wa pili mpaka wa sita gwajima katrend kuliko msanii wowote wa bongo fleva.
 
Back
Top Bottom