UTUMISHI WA UMMA MTAACHA LINI KUDHALILISHA WATOTO WA MASKINI.
Waraka wa BASHIR YAKUB
+255784482959
Kuna haja gani ya kuita watu 30,000 kwenye usaili huku mkijua mnahitaji watu 400 ...
Leo nimeona maajabu, kituko, jambo la kusikitisha ambalo sikutegemea kuliona katika ofisi ya Serikali Kuu, ofisi ambayo ndio "ikulu" yetu ya Mwanza, ofisi ambayo inamwakilisha Rais.
Nimefika...
This is absurd,
Ukienda uhamiaji kufanya mchakato wa kupata passport unaulizwa maswali mengi ambayo ni ya msingi sana lakini hili suala la invitation linakera sana.
Wanalazimisha watu...
Kijana mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja alikutwa na waumin wa msikiti wa MKURANGA- Mwembechai, Manzese DSM akimlawiti mtoto wa kiume miaka 12 katika vyoo vya msikiti.
Angalia...
Umoja na mshikamano katika majeshi ya ulinzi na usalama nchini umetajwa ndiyo njia pekee ya kuondoa tofauti zilizopo baina ya majeshi hayo ambazo hazileti taswira nzuri kwa jamii inayowategemea...
Inaelezwa kuwa sheria za haki za wanyama hutekelezwa sana katika nchi zilizoendelea na kuwa na uamko ndogo katika nchi za Afrika hasa Tanzania.
Kwa maana hiyo baadhi watu wanaamini kuwa wanyama...
Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu kuileta PRIVATE JET yake Tanzania ambayo ameinunua Marekani.
Kwenye hii video fupi hapa chini Gwajima...
Wakuu habari za jioni
Awali ya yote kuna nyumba yangu moja niliezeka kwa bati za msouth sikutumia ghalama sana sasa kuna kuna nyumba moja tena nataka kuezeka kwa kutumia bati za vigae je...
Huo ndo ukwel usio pingika reyvan amelewa sifa na kuanza kuto eshim wakubwa zake hasa Boss wake DIAMOND .
USHAIDI ..huu apa
nyimbo yake chuma ulete imetengenezwa nje ya studios za wasafi...
Mimi naomba uliza maana hadi leo sielewi.
Niliendaga Level 8 ule mziki wa Ijumaa mara moja sijui kwa mwezi, haya kiingilio kilikuwa 20,000tshs, basi mimi mnywa maji nikaambiwa maji ni ya...
Bei ya sukari mkoani Kilimanjaro imeshuka bei kutoka shilingi 3,000 hadi 2,5000 kutokana na kuingizwa kwa sukari kutoka nje ya nchi
Ingawa kushuka kwa bei huko kumeleta unafuu kwa wananchi...
Prison warned for disobeying court order on Sethi’s health
THE Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam yesterday warned the prosecution and prison authorities for disobeying its...
Sasa ni muda wa Serikali kubadili gia angani, Ni muda wa kuchukua watu wenye division one form Four na Division one Form six, Asiye na vigezo hivyo waondolewe ofsini ili waliofaulu vizuri wabaki...
Habari wana JF.
Kwanza kabisa naomba niwatakie siku kuu njema ya Eid.
Bila kupoteza muda, nilikua nawaza kwa maandishi hivi kweli maudhui ya zile nyimbo za kale bado yana maantiki paka leo?
Kwa...
Ili kuimarisha Ulinzi na Usalama katika Taifa letu, na kwasababu ni jukumu letu wananchi kuhakikisha tunaitunza amani yetu, hizi hapa ni namba za makamanda wa polisi mikoa yote na kanda zote...
DC APIGA MARUFUKU IBADA ZA SAA 24
Mkuu wa wilaya ya Musoma mkoani Mara Dkt. Vincent Anney amepiga marufuku muziki holela katika maeneo mbalimbali wilayani humo zikiwemo ibada za saa 24 katika...
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wakiangalia maeneo ambayo yanasadikika kuwa Marehemu Shinje Charles alipoanguka na kupoteza uhai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.