Imvubhu
Senior Member
- Aug 27, 2017
- 181
- 172
Quote (Nyumba zaidi ya 180 zimeuzwa kutokana na wakopaji kushindwa kulipa madeni bank kutoka jan 17 mpaka sasa. Sheria itatungwa, madalali wasajiliwe na walipe kodi. Haiwezekani dalali auze nyumba ya Tshs 1 billion halafu halipi kodi (Mh. Waziri, Lukuvi, 31/08/2017 kupitia Radio Cloud).