Nyimbo mpya ya reyvan iko nje ya WCB

Nyimbo mpya ya reyvan iko nje ya WCB

floow

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
411
Reaction score
858
Huo ndo ukwel usio pingika reyvan amelewa sifa na kuanza kuto eshim wakubwa zake hasa Boss wake DIAMOND .

USHAIDI ..huu apa

nyimbo yake chuma ulete imetengenezwa nje ya studios za wasafi

Vidio imeshutiwa na directa mdogo ...(picha mbaya kwa WCB)

ile sauti tuliyo izoea. inayokua mwanzo au mwisho wa nyimbo za WCB kwenye hii chuma ulete ya reyvan hiyo sauti haipo . .(waaasaafii) --sauti ninayo izungumzia

Mpaka dk hii DIAMOND /BABTALE pamoja na SALAMA hawaja ipost hiyo nyimbo kwenye kurasa za akaunti za mitandao yao kuisapot kama tulivyo zoe ....hao ndio wakubwa wake

Dogo ameshaanza kuvimba ..
Ukila na kipofu usimshike mikono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa kaitengenezea studio yake na sidhani kama hawakumpa ruhusa kuachia hii nyimbo.
Nadhani anajaribu promote studio yake
 
Ashakula tuzo huyo dogo yuko juu, Mond akubali tu, ashaibiwa nyota...
Harmo nae ndo huyo anarusha manyoya
 
Ashakula tuzo huyo dogo yuko juu, Mond akubali tu, ashaibiwa nyota...
Harmo nae ndo huyo anarusha manyoya
Maisha ni mlima eeeh kuna kupanda na kushuka.eeehh...

What goes around always comes around
 
Iweke hapa tuione, kuhukumu kitu ambacho hujakiona ni chuki binafsi, na ni umazwazwa

_ where ever you are remember me_
 
Back
Top Bottom