Serikali na Ajira

Serikali na Ajira

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,149
Sasa ni muda wa Serikali kubadili gia angani, Ni muda wa kuchukua watu wenye division one form Four na Division one Form six, Asiye na vigezo hivyo waondolewe ofsini ili waliofaulu vizuri wabaki maofsini,

Kama darasa la Saba wamewaondoa sasa ni muda wa kubaki na division one tu ili wale wanaohubiri wenzao kulima wakalime wao
 
na maprofesa watasemaje?
 
Serikalini kuna vilaza kibao, wakisema wafanye ivyo itawakumba wengi, Watumishi karibia 3/4 wameajiriwa kwa elimu ya kuungaunga.
 
Wameshaondoa darasa la Saba, Hawa division Two mpaka Three wakalime wanashusha hadhi ya Serikali, Ni suala la kumshawishi Rais na JPM anaangalia elimu, Ni muda wa kuwatoa hao
 
Kuwa na Division one sio kigezo cha utendaji KAZI mzuri.
Watendaji kazi wazuri kwa uweledi ni Watu wenye uwezo wa akili wa kati ( Division two na three).
Division one ni bookworms tu.
 
Sasa ni muda wa Serikali kubadili gia angani, Ni muda wa kuchukua watu wenye division one form Four na Division one Form six, Asiye na vigezo hivyo waondolewe ofsini ili waliofaulu vizuri wabaki maofsini,

Kama darasa la Saba wamewaondoa sasa ni muda wa kubaki na division one tu ili wale wanaohubiri wenzao kulima wakalime wao
Mfano serikali ikuchukua kilaza kama wewe unaeona kilimo ni cha watu waliofeli ikakuweka ofisini sasa itakua imefanya nini kwa mfano hata kama umepata divisheni wani?
 
kama ulisoma utatambua jambo hili kuna mwanafunzi class anauwezo wa kawaida ila kwenye kazi ni namba moja hivyo hivyo kuna as mbao kwenye kazi uwezo mdogo ila class ni first class anayo
 
Kwa taarifa yako wengi wenye division one hasa za shule za private wengi wao zaidi ya 60% ni Mabashite.

Division one siyo kigezo cha ueledi kazini. Sisi tumetoka shule za Kata na division three zetu huko vyuoni tumewabuluza sana kwa GPA hao division one wako.

Pole kwa kujipigia debe na division one yako ya kuibia paper za ndalichako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kuna darasa la Saba wapo vizuri kuliko form six lakini wameondolewa ni muda wa kubaki na division one pekee tu, Hapa kampeni inabidi ianze, Wewe kama huna division one mjiandae, kwa tatizo hili la ajira ni kuweka vigezo vigumu
 
Kuwa na Division one sio kigezo cha utendaji KAZI mzuri.
Watendaji kazi wazuri kwa uweledi ni Watu wenye uwezo wa akili wa kati ( Division two na three).
Division one ni bookworms tu.
Sister, uko na div.3 hahahaha

Lexus Mayai
 
Hata kuna darasa la Saba wapo vizuri kuliko form six lakini wameondolewa ni muda wa kubaki na division one pekee tu, Hapa kampeni inabidi ianze, Wewe kama huna division one mjiandae, kwa tatizo hili la ajira ni kuweka vigezo vigumu
Utasubiri sanaaa

Kama utaki beba jembe ukalime hata bamia basi utatembea sana na bahasha za kaki hadi visigino vya miguu vikuote sugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wa kukariri na uwajibikaji ni vitu tofauti.
Labda ungelitumia kigezo cha ulinganishi wa GPA ambacho wakati mwingine hutumika.

mafisadi hayana rangi
 
Sasa ni muda wa Serikali kubadili gia angani, Ni muda wa kuchukua watu wenye division one form Four na Division one Form six, Asiye na vigezo hivyo waondolewe ofsini ili waliofaulu vizuri wabaki maofsini,

Kama darasa la Saba wamewaondoa sasa ni muda wa kubaki na division one tu ili wale wanaohubiri wenzao kulima wakalime wao
Chuo uko na GPA ya ngapi, na chuo gani ulisoma

Lexus Mayai
 
Kuwa na Division one sio kigezo cha utendaji KAZI mzuri.
Watendaji kazi wazuri kwa uweledi ni Watu wenye uwezo wa akili wa kati ( Division two na three).
Division one ni bookworms tu.
Nendeni nanyi mkalime wenzenu darasa la Saba sasa wanasoma ni muda tu utaongea
 
Chuo uko na GPA ya ngapi, na chuo gani ulisoma

Lexus Mayai
Naona Sindano zimewaingia kumbe wengi humu hamna kitu kichwani ni kelele tu, Nimeweza fahamu matokeo yenu kirahisi, mnatoka povu sana ndio maisha zamu yenu inakuja mtaenda kulima mbaya zaidi una familia kubwa
 
Back
Top Bottom