nyumbatatu JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,076 Reaction score 940 Aug 31, 2017 #1 Kuna kitu sijaelewa bado, Kama hii inaitwa funika kombe mwanaharamu apite au ukila Na kipofu usimshike mkono. Kwa faida ya nani lakini] Leo
Kuna kitu sijaelewa bado, Kama hii inaitwa funika kombe mwanaharamu apite au ukila Na kipofu usimshike mkono. Kwa faida ya nani lakini] Leo
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,640 Aug 31, 2017 #2 Waandishi wa habari nao siku hizi kutoa habari hata kama ya kweli imekuwa ngumu kupimwa mkojo nje nje siku hizi
Waandishi wa habari nao siku hizi kutoa habari hata kama ya kweli imekuwa ngumu kupimwa mkojo nje nje siku hizi
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Aug 31, 2017 #3 Taharuki gani?
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,102 Reaction score 2,154 Aug 31, 2017 #4 Hivi vichwa vya habari muda mwingine haviendani na content,wanastahili kabisa kupimwa mkojo.