high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,950
- 2,190
Wakuu habari za jioni
Awali ya yote kuna nyumba yangu moja niliezeka kwa bati za msouth sikutumia ghalama sana sasa kuna kuna nyumba moja tena nataka kuezeka kwa kutumia bati za vigae je nitatumia pizi ngapi kukamilisha nyumba ya vyumba vitatu jiko stoo sehemu ya kupumzikia na sehemu ya kulia
Mimi niko mwanza kama kutakuwa na mtu yuko mwanza siyo mbaya tukiwasiliana kwa ushauri juu ya faida na hasara zake kuna wengine wanasema decra zinakula mbao wengine ni hamna hebu jamani watalaamu tufahamishane nataka kama hii picha