Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,049
- 674
This is absurd,
Ukienda uhamiaji kufanya mchakato wa kupata passport unaulizwa maswali mengi ambayo ni ya msingi sana lakini hili suala la invitation linakera sana.
Wanalazimisha watu wawadanganye kwa kutafuta marafiki fake ulaya ili wapate invitations. Taifa hili inabidi baadhi ya mambo tuyabadilishe jamani. Hii ni haki ya kila raia mwenye uhitaji wa passport. Uhamiaji kama mnanisikia napenda kutoa hoja.