MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 16,058
- 40,617
Habari wana JF.
Kwanza kabisa naomba niwatakie siku kuu njema ya Eid.
Bila kupoteza muda, nilikua nawaza kwa maandishi hivi kweli maudhui ya zile nyimbo za kale bado yana maantiki paka leo?
Kwa mfano kuna hii nyimbo nilikua naipenda sana wakati fulani ilikua na chorus inayosema maneno yafuatayo:
"Ama kweli, maradhi yote ugua, lakini kuchacha usiombee"
Inawezekana kuchacha kulikua ni kubaya sana kuliko maradhi yaliyokuwepo kwa wakati ule, lakini wakati huu ambapo kuna EBOLA, UKIMWI NA KANSA tafakari mpya ya maudhui inahitajika.
Basi kama wewe una afiki maoni yangu au unatofautiana nayo si vibaya ukatoa uzoefu wako, kakribuni