Bei ya vinjwaji kwenye viclabu dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya vinjwaji kwenye viclabu dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by cocochanel, Jul 27, 2010.

 1. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 14,417
  Likes Received: 53,141
  Trophy Points: 280
  mie naomba uliza maana hadi leo sielewi

  niliendaga level 8 ule mziki wa ijumaa mara moja sijui kwa mwezi,haya kiigilio kilikuwa 20,000tshs, basi mie mnywa maji nikaambiwa maji ni ya kilimanjaro yale makubwa sijui ni lita 1.5 au 2 jamani niliambiwa bei ni elfu saba mia tano 7,500 tshs nilichoka mwenyewe ningefanyaje nilinunua na kunywa muda niliokaa pale

  ila hiyo bei ni ya box moja lenye chupa hizo nyingi nadhani 12 sasa ni sababu ni sad 5* hotel au ni wizi wa muadaaji na maofisa humo as na hao wahudumu acha tu na mambo yao lazima ununue vocha kabla ya kupata kinywaji ulipie vocha chenji wabaki nayo

  haya weeeeee runway sikuamini siku moja nilitaka maji kama kawaida yale madogo ya nusu lita...niliombwa shs 1000 nilidhani muhudumu kakosea maana kiingilio kilikuwa 20,000 tshs.

  nilifurahia sanaaaaaaaaaaaaa

  ukiongea ya movenpick mmmhhhh nadhani nusu lita ni 3,5000 tshs

  hivi kwanini wanatula hivi

  ukiongea bia level 8...... 6,500 tshs

  ila mie najua tunataka burudika ila mmmhhh


  mzalendo bei poa vinjwaji huisha haraka haya weeeeeee

  JE BEI NI HIZO AU WANALANGUA TU AU WANABADILI SIKU ZINGINE?

  shukurani wanajamiii
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,584
  Likes Received: 5,805
  Trophy Points: 280
  Uchumi unasema bei hupangwa kwa demand and supply, maana yake kama unaona wanaendelea kuuza kwa bei hizo kila siku basi kuna watu wananunua, maana kama watu hawanunui huwezi kuona hizo bei.

  Labda unakwenda viwanja vilivyo nje ya uwezo wako ndiyo maana unashangaa? Ushajaribu Wapi Wapis Bar na Mkirikiti Bar?

  On the real though, Tanzania hamna a sensible pricing structure.
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,305
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Kama huna vijisenti waache wenye uwezo nako mzazi--pole sana
   
 4. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 856
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Karibu kwenye kibuku bei moja nchi nzima
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,316
  Likes Received: 5,041
  Trophy Points: 280
  hivi kwa nini unaamua kujipa shida zisizo na maana, fedha yenyewe unaitafuta kwa taabu, sasa hata kutumia utumie kwa taabu, dad/kaka-ngu, acha kuiga tembo kuny* utapasuka msamba, achana na hizo kampani, tena mtu mwenyewe wal sio mnywaji,

  Chumia juani ulie kivulini na sio uchumie juani na ulie juani
   
 6. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 20,506
  Likes Received: 11,766
  Trophy Points: 280
  what do u expect in a bar @ 5* hotel??? hizo ndio bei zake,hujalanguliwa wala nini.......
   
 7. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,290
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Drink beer save water..............................
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,452
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  ahahahahahahaaaa...pole sana aiseee..yani ukanunua maji 7500?..duuu...ingekuwa hainekeni ya moto hapo poa ..ndio si imported bia usd 5... haya mambo ya bei za ajabu ndio yalinifanyaga niwamwage waajiri wangu waliotaka kunipeleka ushelisheli...mie nakunywa bia 10 kila siku mshahara wenyewe unatosha kula tuu...hapo si mateso hayo..kitu cha usd 1500 kwenye mitungi tuu...bado ishu za msosi, malazi, savings, insurances ...arghhhhhh...achana na mi-5* hotels ni kimeo...

  piga starehe uswazi kwetu...hiyo 7500 unakuwa tingas la kutosha mwanzo mwisho... ila kiasi flani inawezekana ikawa bei sahihi..maana full kiyoyozi makochi mazuri usafi huduma imetulia unakula bia muhudumu anakulinda...ukiagiza unamiminiwa kwenye glass..raha aisee asikuambie m2.
   
 9. bona

  bona JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,797
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  kila biashara wakati inaanzishwa kuna kitu kinaitwa targeted market na potential customers, izo ulizozitaja haziko kwa lengo la wewe mtanzania wa kawaida kwenda pale, ukienda umejipendekeza na ulimbukeni wako, izo bei tena ni ndogo kwa hao walengwa na wanazilipa bila tabu, sawa na mtanzania wa kawaida akale chips kuku pale steers, kulipa ile 12,000/= kama sikosie inaweza kua sio kubwa ila kwa kawaida kwa mtaani utapata iyo chips kuku labda kwa 5000 tu nk wala tusiwalaumu wenye hizo sehem, wakati wanazianzisha mtanzania wa kipato cha kawaida si lengo, kama kulala kempinski ni zaidi ya dola 1000 yaani zaidi ya milioni moja kwa uciku, mtanzania si utaona uwendawazimu kwani hata asilimia 1 ya wafanyakazi wanaolipwa ivyo haifiki!
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,479
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Starehe si adhabu mjomba... njoo uswazi kwetu.. laza za laga ni zilezile tu!! achana na kuuza sura huko!!
   
 11. K

  Kristin Member

  #11
  Jul 29, 2010
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Labda alikuwa anafwata ushauri wa Mange ili akamnase mzungu.
  Natania tu Carrie, dont take it personal. hehehehehe
   
 12. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2016
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 14,417
  Likes Received: 53,141
  Trophy Points: 280
  Uzi huu umenikumbusha mbali, enzi hizo nakuja TZ likizo kutoka masomoni na kabla sijarudi nchini kimoja. Wow nimesoma comments za watu, mngeona hata mabilionea wa £/€/$ uuliza bei ndio maana wapo walipo.

  Kuuliza sio kwamba mtu umeona bei mbaya na hauna huwezo. Bali ni lazima kushangaa, ila niliendaga tena siku ingine nilijua kagemu na kumbe walinichezea mengi so nilijifunza kuongea bila ma accent ya nilipokulia kimasomo.

  Ukiishi na kutofikiria kuwa mtu anakataa kununua goods au services, sababu hana pesa basi wewe hujitambui labda awe amekuambia hivyo.

  Re level 8 kama wakati nikiwa nakua sekondari nilicheza music viwanja vikubwa, iweje ukubwani nisicheze?

  Nilipokuwa boarding school pia walinzi walitajirika, ule mkoa ulikuwa mtamu kula bata kama mwanafunzi.
   
Loading...