Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taasisi hii jamani kulikoni? Hv sasa ukitaka wakupatie settlement quotation ya mkopo wako wanakutaka ulipe tsh 10,000/_ kwa ajili ya kukupatia quotation hiyo. Mbaya zaidi WANADAI pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na Mgeni wa Jiji Nianze kwa kuwapa salamu za Eid ndugu zangu waislamu nchini na duniani pote tusheherekee kwa amani. Sasa twende kwenye mada moja kwa moja ambapo leo nitaomba tulitafakari hili...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
USIJENGE KIHOLELA, TAMBUA MAMBO HAYA MUHIMU KUHUSU 'KIBALI CHA UJENZI' 1. KIBALI CHA UJENZI Kulingana na sheria ya ujenzi wa majengo Mijini si ruhusa kwa mtu yeyote kujenga au kuanza kujenga...
5 Reactions
13 Replies
5K Views
Ukiona watu wanakuogopa. Mke , watoto ukiingia nyumbani wanaingia vyumbani, ujue wewe si baba mwema, wewe ni dikiteita. katili! Ukina watu hawakuogopi ujue wewe unakubalika na familia yako , na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeikuta Facebook na kwa ridhaa ya mhusika kanikubalia kuiweka humu ................................................................................... Kwa kilichotokea hapo majuzi kwenye usaili...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa niaba ya Wana JamiiForums ninawatakia mashekhe wetu walionyimwa dhamana,Sikukuu ya Iddi yenye heri na iliyojaa furaha! Mashekhe hawa ni wale waliosota gerezani bila kupelekwa mahakamani miaka...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali yetu ya JMT ina mihimili mikuu mitatu ambapo leo naomba nijikite kwenye huu muhimili mahakama, kiukweli huu muhimili ni sanamu nasema hivi kwa kurejea kilichotokea Kenya katika kesi ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana jukwaa natumaini mko poa Kuna jambo linanitatiza kidogo nimeona nililete hapa kwani naamini jf ni kisima cha maarifa Kama tunavyojua mwili unahitaji chakula ili ufanye kazi...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Wasalaam wanajukwaa nadhani wote tu wazima na sikukuu ya eid imekuwa njema,ngoja niende kwenye mada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello JF, Hii sio mpya ila nalileta kwenu tulidiscuss tena, Baadhi ya shule za O Level na A level zigeuzwe kuwa vyuo, Sasa hivi mtu mzima kujiunga na shule hizo za O level na A level kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimeskia kuna bomoa bomoa huko tuangoma kigamboni. Naomba mnijuze ni sehem gani na mradi gani serikali inataka kufanya? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Kwa muda mrefu,miezi ya hivi karibuni Korea Kaskazini alikuwa na "mikwara" ya aina yake! Majaribio ya makombora ya mara kwa mara yaliifanya dunia kuwa na wasiwasi sana. Hivi karibuni Korea...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Kitendawili, Tega; kitendawili, Tega; kitendawili tega! Nchi gani duniani haina/hazina Jaji Mkuu
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakati nikiwa katika misele mitaa ya ubungo darajani nimekutana na kioja ambapo babaji ilitoka mahali ilipokuwa imepaki na kuanza kutembea kwa kasi kuelekea barabarani. Hali hii ilizua tafrani...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Magari ya taka hayapaswi kukaa kwenye foleni ndefu barabarani kutokana na umuhimu wa bidhaa walizo beba kuwahi kufikiswa zinakokwenda kuhifadhiwa Kama vile Traffic police wanavyosaidia watu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nlipomaliza chuo July 2013, niliondoka nkaelekea Tanga kwa ajili ya mapumziko ya mwezi mmoja na pia kwa ajili ya kusambaza bahasha za kaki, ilipofika september nikaamua nielekee mkoa flani nkaenda...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Kenya unarudiwa!
0 Reactions
37 Replies
3K Views
http://youtu.be/UODCeqpVEEE
12 Reactions
71 Replies
51K Views
Back
Top Bottom