Akutwa akijaribu kumlawiti mwanafunzi wa kiume katika choo cha msikiti wa mwembechai

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Kijana mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja alikutwa na waumin wa msikiti wa MKURANGA- Mwembechai, Manzese DSM akimlawiti mtoto wa kiume miaka 12 katika vyoo vya msikiti.

Angalia zaidi video hapo chini
 

Attachments

  • VID-20170901-WA0018.mp4
    4.5 MB · Views: 41
Aiseeeh Mungu alitaka kumuumbua... inamaana hakuona sehem yeyote ile bali sehem ya ibada? Simanishi wala sisapoti kufanya kitendo hiko sehem yeyote ata kama s apo ila namanisha kua Mungu aliona kazid kaamua kumuweka sehem inayoonekana zaid ili mabaya yake yajulikane
 
Hii post itachafuta sio muda.

Udhaifu wa Sheikh sio udhaifu wa msikiti , ahukumiwe kwa matendo yake na sio dini yake.

Ankal, so far hakuna aliyetaja wala kuhukumu dini fulani, wewe ndo wakwanza.

Huenda mtuhumiwa si wa dini wala msikiti, mimi kama mleta uzi natamani ungeondoa bandiko lako kwakuwa linaleta taswira hasi
 
Kwanini wanapenda kuitumia vibaya Misikiti jamani, hii ni laana
 
wanawake kibao duniani, ushetani gani huu aisee...nadhani sodoma inasingiziwa tu kwa huu ushetani
 
Back
Top Bottom