Naomba wajuzi wa safari za gari moshi mtupe bei za treni toka Dar hadi Mbeya kati ya ordinary na express pia na madaraja kuanzi first class hadi third class bei zake
Sent using Jamii Forums...
Mwenye macho haambiwi tazama, ushahidi huu hapaaa!!. Inasikitisha Sana na kutia aibu kuona watanzania wanashirikiana kuliibia taifa letu, tena isitoshe wengine wapo mstari wa mbele kuwatetea...
Wasalaam...
Leo kwa mara ya kwanza tangu ITV wameweka pembeni maslai binafsi na migogoro binafsi na wametujuza tena kwa urefu habari inayo wahusu wana Dar na mkuu wao wa mkoa bwana Paul...
Wanajamvi, Wimbi la utekaji watoto na watoroshaji kudai fedha limeibuka upya nchini katika mkoa wa Geita.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Joseph Konyo , imesema mtekaji alitaka apewe...
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale na ni matumaini yangu mko salama na vizuri katika kila idara[emoji109].
Kwa wale tunaotumia mtandao wa WhatsApp katika mishe zetu za hapa na pale haswa...
Hivi karibuni kumeibuka ajali nyingi za Mabasi ambayo yamekuwa yakiteketea kwa moto kutokana na Hitilafu mbalimbali hasa katika mifumo ya breki za mabasi hayo
Hivyo nimeona ni vyema tukumbushane...
1. Huwezi kuandika kwa kutumia kalamu.(Hata hivyo kuna kalamu maalum za huko Space_Astronauts pens)
2. Huwezi kunywa Carbonated Drinks_yaani vinywaji vyenye gesi
3. Huwezi kuchafua anga za juu ni...
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Alberto Msando ameandika ujumbe wa kusikitisha kuhusu vifo vya watoto hao waliotekwa na miili yao kukutwa kwenye shimo la choo mkoani Arusha, na kusema kwamba...
Wadau hàbari zenu naomba mnijuze hivi ni Tanzania tu ndio nchi inayoingia mikataba hewa na feki tu ama zipo nchi zingine kama Kenya Uganda Burundi Rwanda sudani nazenyewe zinamajanga kama hili...
BEDECCA- IN TANZANIA.
Busokelo Education Development for Child and Counseling Association in Tanzania.
Katika semina hii iliyofanyika kuanzia tarehe 22/08/2017 hadi tarehe 24/08/2017...
Basi hilo limeungua na kuteketea lote katika eneo la Manga mpakani kilometa chache kabla ya kufika Mkata, llikiwa safarini toka Dar kwenda Arusha.
Hakuna vifo wala majeruhi ila mali za abiria na...
Eastern Cape, Afrika Kusini. Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Walter Sisulu alilala masikini na kuamka tajiri baada ya kukuta akaunti yake ikiwa na Dola 1 milioni za Marekani sawa na Sh2.2 bilioni...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limebadili msimamo wake wa awali ambapo walioathirika na virusi vinavyosababisha ukimwi (HIV) ilibidi wasubiri kuwa wagonjwa kabisa kabla ya kuanza kutumia tembe za...
Viongozi wetu wa kiserikali bado wako gizani wakati dunia inapiga hatua kiteknolojia, mawaziri wengi hawana akaunti kwenye mitandao ya kijamii, wanafanya kazi kwa mtindo wa analojia, wakati...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala, alisema wanaopata mimba shule kusoma elimu ya ufundi wakati akizungumza na waandishi wa...
Wana JF
Naomba atakayeweza kufikisha taarifa hizi kwa wahusika afanye haraka kuwapa ujumbe huu:
Mti huu uliopo eneo la Mkuyuni jijini Mwanza ni hatari kwa wanamwanza. Naomba ujumbe huu umfikie...
TAHADHARI! UKWELI KUHUSU WIZI WA MITANDAO YA REVENUE BRUST, ONLINE TASK PAY, YOUTHNIZER N.K.
Your Payment Withdrawal
Option will appear here, when you will reach you minimum payout limit of 300$...
Asilimia kubwa ya sisi Wtz.kulaumu Ndo msingi wa uzalendo wetu . kupunguza mwikooo. Nimesikitishwa sana na hawa watekaji wasiojua hata Nini w alikuwa wanafanya na wanataka. Ni ukatili mkubwa sana...
Mhenga Lucky Philip Dube alishawahi kuimba "Crime Does Not Pay" yaani uhalifu haulipi. Kwa dhati ya moyo wangu naamini fungate(honey moon) la mauwaji Kibiti limeisha. Wale wenye kushabikia mauwaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.