Basi la LIM Safari la Dar - Arusha, laungua na kuteketea

Basi la LIM Safari la Dar - Arusha, laungua na kuteketea

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,091
Reaction score
10,773
Basi hilo limeungua na kuteketea lote katika eneo la Manga mpakani kilometa chache kabla ya kufika Mkata, llikiwa safarini toka Dar kwenda Arusha.

Hakuna vifo wala majeruhi ila mali za abiria na mizigo vimeteketea.
basi.PNG

Chanzo ni hitilafu katika brake system.
 
picha simu zilikuwa kwenye mabegi !!!! na abiria walipata mshtuko wa tumbo !
poleni kwa kupoteza mali na muda abiria wenzangu !!
 
Poleni sana,uhai ni Muhimu.Ashukuriwe Mungu kwa kuwanusuru!
 
Basi hilo limeungua na kuteketea lote katika eneo la Manga mpakani kilometa chache kabla ya kufika Mkata, llikiwa safarini toka Dar kwenda Arusha.

Hakuna vifo wala majeruhi ila mali za abiria na mizigo vimeteketea.
View attachment 582614
Chanzo ni hitilafu katika brake system.
Poleni sana walengwa
 
Vp Bima itahusika kurudisha
mali za abiria
 
Basi hilo limeungua na kuteketea lote katika eneo la Manga mpakani kilometa chache kabla ya kufika Mkata, llikiwa safarini toka Dar kwenda Arusha.

Hakuna vifo wala majeruhi ila mali za abiria na mizigo vimeteketea.
View attachment 582614
Chanzo ni hitilafu katika brake system.
Jamani haya magari mimi mwenyewe hili basi la LIM SAFARI lilitaka kutuunguza hapo Ruvu Darajani mwezi wa saba mwaka huu, tulikuwa tunatoka Dar kwenda Arusha, gari lilianza kuwaka moto, wakasema hivyo hivyo ni breki, watu wa nje ndio walianza kupiga kelele dereva asimamishe gari, kwani kulikuwa na moto. Tulifanikiwa kutoka wote na watu walikuja kuzima moto na maji. Tukaletewa basi lingine tunaondoka. Nimekumbuka mbali mno.
 
Back
Top Bottom