Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Alfred Mgweno (TEMESA MWANZA) Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu, ameshiriki katika zoezi la kuweka msingi wa ujenzi wa kivuko kipya kitakachotoa huduma ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hapa kwetu Masasi umeme wetu umekuwa kama wa mshumaa, upepo ukivuma kidogo unazima. Tanzania ya viwanda yaja.............. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Pasi ya kusafiria ya Ujerumani ndiyo kwa sasa ina nguvu kubwa duniani kwa kuwa na uwezo wa kutumika kuingia katika nchi 176 duniani bila kuwa na viza. Nchi inayofuatia kwa kuwa na pasi yenye...
6 Reactions
29 Replies
9K Views
Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana? #maisha kusaidiana wadau! Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
114 Replies
24K Views
Uharibifu wa mazingira ya bahari umekuwa mkubwa sana, uvuvi wa kutumia mabomu umetamalaki, uvuvi wa kutumia nyavu zenye matundu madogo umetamalaki na lengo lao kubwa ni kuhakikisha hawatoki patupu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakulima wilayani Songea mkoni Ruvuma wameiomba serikali kuongeza kiwango cha ununuzi wa mahindi kutoka tani 6000 ambazo mkoa wa Ruvuma umepangiwa kununa pamoja na kuruhusu uuzaji wa mahindi nje...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Imekuwa kawaida sasa kero kwa wakazi wa Dar hasa wenye gari aina ya Pick au kirikuu ni shida,Lazima watakutafutia kosa au umpe chochote. Imefikia mpaka tunawaona maadui zetu. Wanatengeneza uhasama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tarehe 30-31.8.2017 ZAIDI YA KAYA 91 KIJIJI CHA KANOGO NA CHABUHORA WILAYA YA KARAGWE Mkoani Kagera, waachwa BILA MAKAZI, bila chakula na katika mahangaiko makubwa.. Wahanga wanahitaji msaada wa...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Sheli iliyoko Mwandoya ambayo ni Mhe. Njalu Silanga (Mb) CCM- Bariadi Magharibi inauza mafuta bila kutoa list za EFD SHELI HII ILIWAHI KUFUNGIWA MARA MBILI MWAKA HUU ndio wakafunga MASHINE hiyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KUNA usemi unaosema ukicheka na nyani utavuna mabua, hali hii inajidhihirisha katika matukio ya wanafunzi wa kike kukatishwa masomo kutokana na kupata ujauzito na kusababisha kushindwa kufikia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Mlima Kilimanjaro kuendelea kutangazwa upo Kenya na serikali ya Kenya/raia wa Kenya, Nani alaumiwe? Nini kifanyike? Je ni uzembe wa wahusika kutotangaza vivutio vyetu? Ni uzembe wa viongozi wetu...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Leo napenda kukushirikisha habari juu ya kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha WATOTO WETU TANZANIA zamani kikijulikana kama FRIENDS OF DON BOSCO pale Kimara Suka. Kituo kilianzishwa mwaka 1998 na...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Mtoto hapewi anachotaka bali anapewa anachostahili. Watoto na vijana wengi bado hawajajua kitu cha kutaka chenye faida ya kudumu maishani Mwao. Tanzania Tuliyopo na Tunayoiendea, Ardhi na Elimu...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hii ni kutoka ka wengi kutaka kuwahi kupata vipimo kwa wataalamu mbalimbali wa afya, katika zoezi litakaloratibiwa na mkuu wa mkoa wa Dsm. Zoezi hili litoe taswira ni kwa kiwango gani wahitaji wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Za leo wakuu. Pitapita zangu leo nimeingia ofisi moja pale Mzumbe University ya Upanga, uyu mwanamama anafundisha pale ila mezani kwake ana magazeti ma2 ya udaku na 1 kalishikilia anasoma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu Habari, Ofisi za Wabunge huwa ziko wapi?? Kwenye ofisi za Halmashauri au?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mifuko iliyozinduliwa ni Kupanga Mipango, Kuandaa Bajeti na Kutolea taarifa za hatua za Utekelezaji wa Bajeti (Planning, Budgeting and Reporting System- PlanRep) pamoja na mfumo waKufanya Malipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya Ashok Leyland India, imepokea oda ya thamani ya USD 170 milloin kwa ajili ya usumbazaji wa magari na spea toka kwa serikali ya Tanzania. Pamoja na usumbazaji...
4 Reactions
83 Replies
16K Views
Hawa wachungaji na maaskofu wa siku hizi ni ajabu sana.Sasa mchungaji kama huyu anaenda na sadaka za waumini wake Marekani halafu anaanza kuwatambishia mitandaoni namna anavyokula maisha huko USA...
22 Reactions
137 Replies
18K Views
Jumla wanafunzi 917,072 wa darasa la saba, Leo Septemba 5-6 wameanza mtihani wa Taifa wa kuhitimu elimu ya msingi. Tunawatakia kila kheri wadogo zetu katika mitihani huo Mungu awatangulie. Tupia...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom