Chachata
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 201
- 135
Mkuu; unasema Bawasila au ulitaka kusema Bawasiri? Bawasiri jina lingine ni Haemorhoids ambapo vijinyama huota katika njia ya haja kubwa na vinamaumivu makali. Kama ni Bawasiri unaweza kwenda Hospitali kuwaona wataalam watakusaidia. Pole sana mkuu.