Hongera sana ITV kwa kuanza kurusha habari za Makonda, bado za January

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,204
42,062
Wasalaam...
Leo kwa mara ya kwanza tangu ITV wameweka pembeni maslai binafsi na migogoro binafsi na wametujuza tena kwa urefu habari inayo wahusu wana Dar na mkuu wao wa mkoa bwana Paul Makonda..habari hii ilikuwa ina husu kampeni ya upimaji wa afya bure iliyo asisiwa na Mh Makonda inayo endelea viwanja vya mnazi mmoja.

Ni kipindi kirefu sana ITV walikuwa hawarushi habari za Mh Makonda na Mh January Makamba bila kuweka sababu za kufanya hivyo lakini leo pia wametu suprise kwa kurusha habari yake..kwakweli na wapongeza ITV kwa kuweka maslai ya taifa mbele....hongereni sana..

Wasalaam...
 
Vizuri kujua kwamba wamejibadili kutuletea wananchi habari zinazotuhusu za awamu hii kizaidi... awamu hii sio ya mchezo mchezo.. na youtube kwenye channel yake tunapata habari pia.

Makonda oyeeeeeee
 
Kumkwepa makonda lazima uwe anti society!
Hakwepeki!
image.jpeg
 
Wasalaam...
Leo kwa mara ya kwanza tangu ITV wameweka pembeni maslai binafsi na migogoro binafsi na wametujuza tena kwa urefu habari inayo wahusu wana Dar na mkuu wao wa mkoa bwana Paul Makonda..habari hii ilikuwa ina husu kampeni ya upimaji wa afya bure iliyo asisiwa na Mh Makonda inayo endelea viwanja vya mnazi mmoja.

Ni kipindi kirefu sana ITV walikuwa hawarushi habari za Mh Makonda na Mh January Makamba bila kuweka sababu za kufanya hivyo lakini leo pia wametu suprise kwa kurusha habari yake..kwakweli na wapongeza ITV kwa kuweka maslai ya taifa mbele....hongereni sana..

Wasalaam...

makonda ndio nani mjini hapa
 
Vizuri kujua kwamba wamejibadili kutuletea wananchi habari zinazotuhusu za awamu hii kizaidi... awamu hii sio ya mchezo mchezo.. na youtube kwenye channel yake tunapata habari pia.

Makonda oyeeeeeee
Upvvzi mtupu

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom