Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais Magufuli amenikuna leo kwa kulitamka hili "tujiulize kama taifa tumekosea wapi" Hebu watanzania tumsaidie Rais wetu kumwambia wapi tulikosea. Mimi naanza mchango wangu kwa kumwambia kuwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
JAMANI MJITAHIDI KUITAZAMA AZAM TWO MUDA WA TAARIFA YA HABARI. HAWA JAMAA WAKO VIZURI SANA. WANACHAMBUA HABARI VIZURI SANA NA WATANGAZAJI WAO NI MAHIRI MNO. AGHALABU HUWALETA WATU WENYE UJUZI...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Naona tunazidi kuchanja mbuga kuelekea bondeni vichakani! Leo nimetishiwa live kwenye mjadala wala ambao haukuwa na msisimko wowote Huyu ndugu kwenye huo mjadala reply ya ya kwanza akamalizia na...
23 Reactions
136 Replies
13K Views
Drone ilipaishwa urefu usiokawaida na kujikuta ipo foot 100 karibu na Ndege hiyo iliyokuwa imebeba abiria. Wataalamu wa Mambo ya usafiri wa anga Uingereza wameliingiza kwenye listi ya viashiria...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hakika Watanzania sasa tunasomeshwa namba na nashangaa wale wanaounga mkono kila kinachofanywa na serikali. Kufikia mwaka jana ili vijana wetu wasome vyuo vikuu maombi yalikuwa yanafanywa sehemu...
14 Reactions
131 Replies
15K Views
Wengi wetu tulidhani JPM anatania!La hasha,hakika amedhamilia. Hatimae wazoefu wa fitina za bandarini wameanza kunyooka!Tulizoea kampuni kubwa km GSM lori zake zilikuwa hazikosi mizigo ya...
13 Reactions
201 Replies
21K Views
Naomba kutoa rai kwa serikali ya awamu ya tano, kwa sababu rasilimali ni za kwetu. Basi waamue kufungua migodi yao yenyewe ya dhahabu, almasi na tanzanite na madini mengine. Inajulikana biashara...
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Kamanda wa Polisi Mkoani Rukwa. RPC G. Kyando amethibitisha kushikiliwa kwa watu wanne kwa tuhuma za kukamatwa na meno ya Tembo yanayokadiliwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 67...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Mbona hawa wafuatao huwa hamuwasahau? Fahmi Dovutwa Ibrahim Lipumba John Cheyo Joseph Butiku Viongoizi wa Dini Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wanafunzi wa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu natanguliza salamu . Naomba kukiri kwamba mimi ni mnunuzi wa dawa katika maduka ya Dawa ya Tanzania , hata hivyo sijaridhishwa na namna baraza hili linavyosimamia maduka haya. Ikumbukwe...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Serikali ya Zanzibar imekanusha kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad kwamba kuna mkakati maalumu unaowahusisha waganga wa kienyeji kutoka Nigeria, Sumbawanga, Pemba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu leo nimepanda basi la BM kutoka Moro kuja dar, wamekuja na mpya ndani ya basi moja nauli mbili tofauti kuna viti vinne vya mbele wanaiita VIP nauli shs 10,000/=vinavyofuata nyuma ni bei ya...
6 Reactions
55 Replies
8K Views
Ndugu zangu na watanzania wenzangu napendwa kutoa masikitiko na kero yangu kwa Serikali kutokana na unyama tunaofanyiwa na makampuni ya ving'amuzi. Kwanza ni pale Kifurushi kinapoisha wanakata...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo wameachana na bifu lisilowahusu na Makonda na wameripoti vizuri Habari yake ya Kuleta madaktari wa kupima afya Dar as salaam.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Aisee... Endeleeni hivihivi.. Nimewafuatilia kwa muda na kuwapima.. Naona Mnarejea zile ezi... When you were unstoppable.... Hii collection mnayoicheza sasa inanirudisha sometimes back...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari samahan naomba kupata link ambayo imezungumzia ripoti za mchanga wa madini ( makinikia ) ile ya Prof mruma na osoro. Nimejitahid kutafuta hapa sion kila niki search inakoma Nahitaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimesikiliza ripoti mbili za Kamati Teule za Bunge kuhusu Madini ya Tanzanite na Almasi, nimesikitika sana. Kamati ya Almasi imeongozwa na Mhe.Mussa Azan Zungu na ile ya Tanzanite imeongozwa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya lile swala la uhakiki na kufwatiaji na zoezi la usimamishaji kazi kwa watumishi hao, maelfu ya watumishi hawakukubaliana na hali hiyo na kuamua kukata rufaa. Kwa uchunguzi uliofanywa na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba wajuzi wa safari za gari moshi mtupe bei za treni toka Dar hadi Mbeya kati ya ordinary na express pia na madaraja kuanzi first class hadi third class bei zake Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Mwenye macho haambiwi tazama, ushahidi huu hapaaa!!. Inasikitisha Sana na kutia aibu kuona watanzania wanashirikiana kuliibia taifa letu, tena isitoshe wengine wapo mstari wa mbele kuwatetea...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom