Ni ukweli usiopingika vijana wengi waliotoswa na baba zao wakati wa makuzi wengi wao wamefanikiwa kimaisha,
Wapo wengi waliokosa huduma muhimu kutoka kwa wazazi wao mfano ada ya shule na...
DAR ES SALAAM: Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima lililopo karibu na Barabara ya Morogoro eneo la Mbezi Inn limebomolewa
Updates to follow
Hadi polisi watakapotoa ufafanuzi zaidi kwa nini lifanyike!. Hapo awali Polisi Walipiga Marufuku Magari yenye vioo Vyeusi{Tinted}. zaidi soma=>UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku...
DAR: Mahakama ya wilaya Ilala imemhukumu kifungo cha maisha jela Baraka Joshua maarufu 'Mtoto wa Nyani' kwa hatia ya kubaka na kulawiti mtoto wa miaka 9
Nimfanyaje huyu askari trafik nimetoka nyumbani salama mida hii ya asubuhi nimetembea kama nusu kilometa hivi nikapigwa mkono na trafik nikapaki pembeni akaniambia anataka kukagua gari akagua lote...
Mtu mmoja amelazwa hospitali ya wilaya Handeni baada kuchomwa kisu na imesadiwa kuwa chanzo ni majeruhi huyo kuchunga mbuzi kwenye bustani ya mboga aina ya matembele.
Majeruhi huyo amesema kuwa...
Ni sehemu kwa jina lingine iliitwa "mama huruma" maana yake ni kuwa; huwezi kupata shida za kudumu.
Kujulikana kwa mji wa Kakola na viunga vyake ni kutokana na uwepo wa mgodi wa Acacia, biashara...
Tatizo kubwa la wakulima wa viunguu katika bonde la ziwa Eyasi wilayani Karatu mkoa wa Arusha la kushindwa kunufaika na mazao yao limepata ufumbuzi baada ya serikali kutekeleza kwa vitendo ahadi...
MAMLAKA ya Mapato Taanzania (TRA), imetoa siri ya vijana zaidi ya 29,000 kuitwa kwenye usaili wa nafasi 400 za kazi zilizotangazwa na mamlaka hiyo kati ya 56,000 walioomba.
Licha ya TRA kuhitaji...
Arusha. Askari wa Jeshi la Polisi hawakufika eneo ambalo watu wanaodhaniwa kuwa ni watekaji walifika kujaribu kukutana na mmoja wa wazazi wa watoto waliotekwa na ambao baadaye alikutwa ndani ya...
Moshi. Mama mzazi wa mwanafunzi wa kidato cha nne aliyepewa ujauzito, amemuomba Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), aagize kufanyike vipimo vya Vinasaba (DNA) kubaini baba wa mtoto.
Mzazi huyo...
Wajawazito katika Wilaya ya Kyerwa, Kagera wameeleza changamoto kubwa wanayokumbana nayo wanapohudhuria katika moja ya Kituo cha Afya Nkwenda kwa kulala sakafuni kutokana na uchakavu na ukosefu wa...
Leo Rais wetu JPM anapokea ripoti ya Bunge ya Uchunguzi wa Biashara ya Almasi.
Mapokezi haya yametangazwa na Ikulu kuwa yatakuwa Live kupitia Redio na TVs mbalimbali kuanzia saa 4 kamili lakini...
Ukienda ofisini kwao unaambiwa unatakiwa uombe online, unaomba online wanakuambia majibu ndani ya siku tatu. Hizo siku tatu zinaenda mpaka kumi unawafata tena wanakuambia tutakujibu ndani ya...
Nimeleta kwenu hili ili na sisi tunaweza chukua hatua ya kusikiliza.
Wapendwa sijajua viongozi wangapi au wananchi wangapi wanasikiliza WOSIA wa Mwalimu Nyerere maana hivi vipindi vinamambo...
Mie nasikitika sana na Tanzania yangu kila kukicha nikisikiliza mambo mengi yalitokea huko nyuma na yanayotokea kila siku inafika mahali huoni tofauti kati ya Wasomi Viongozi na watanzania wa...
Israeli siku zote habipiwi na ukimbipu tu anapiga hapo hapo.
Nasisitiza tena kwamba " hakuna kitu kizuri duniani kama kusikia ushauri kutoka hata kwa wale ambao unawadharau ".
Maisha ni 50 / 50...
Za jioni wakuu,
Wananchi wakishuhudia zoezi la uopoaji wa miili ya watoto wawili
Wale watoto Ikram na Maureen waliokuwa wametekwa wamepatikana katika shimo la choo ambalo bado halijaanza...
Kampuni ya Acacia imesema ina matumaini kuwa mazungumzo baina yake na Serikali kuhusu kuzuiwa kusafirisha mchanga wa madini nje, yatafikia suluhisho, lakini imetangaza kupunguza uchimbaji madini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.