Mbuyu huu ni hatari kwa Wana-Mwanza

Mbuyu huu ni hatari kwa Wana-Mwanza

Bonson

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
183
Reaction score
147
Wana JF

Naomba atakayeweza kufikisha taarifa hizi kwa wahusika afanye haraka kuwapa ujumbe huu:

Mti huu uliopo eneo la Mkuyuni jijini Mwanza ni hatari kwa wanamwanza. Naomba ujumbe huu umfikie Mkurugenzi, Meya, Meneja wa TANROAD Mwanza na Mbunge wa Nyamagana.

Huwa napita mahali hapo kila siku nikienda ofisini na kurudi nyumbani na ninaiona hatari inayoweza sababishwa na mti huu.

Mkuyu huu umezeeka sana na unaweza vunjika wakati wowote na kusababisha ajali mbaya. Naomba wahusika wakate angalau matawi yaliyo barabarani.

Mungu Ibariki Tanzania.

mkuyu 1.jpg
mkuyu 2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekusikia kaka ndo tupo tunaushughulikia muda huu,gereza la Butimba limeweka wafungwa wa kutosha wako wanaushambulia naamin leo haulali

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu hiyo kuni, wafungwa butimba hapo ni nusu siku tu huo mti inabaki historia...
hata akijitokeza mjasiliamali akachukia tenda ya kuuondoa kwa gharama zake, bado atapata shekeli kiasi.
 
Acha kiherehere wewe...hicho ni kilinge cha wazee..mlikikuta na mtakiacha.
Unafikiri hao tanroads hawajui au wamelala wewe ndiye unayejua au uliyeko macho?
Vipi hizi ni akili zako au nawewe unatumia makalio kuwaza
 
Acha kiherehere wewe...hicho ni kilinge cha wazee..mlikikuta na mtakiacha.
Unafikiri hao tanroads hawajui au wamelala wewe ndiye unayejua au uliyeko macho?
Kinga ni bora kuliko tiba ndugu yangu... Well naheshimu mtazamo wako, ila Mimi naona ni hatari. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kiherehere wewe...hicho ni kilinge cha wazee..mlikikuta na mtakiacha.
Unafikiri hao tanroads hawajui au wamelala wewe ndiye unayejua au uliyeko macho?
msafara wa mamba...kenge hawakosi..hongera naona upo
 
Back
Top Bottom