Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona kumekua na maneno meengi kuhusu watanzania waishio ughaibuni. Mimi nimeishi Scandnavia kwa muda mrefu ila baada ya kutimiza malengo yangu nilirudi nyumbani for good.Kwa sasa huwa ninakwenda...
33 Reactions
226 Replies
36K Views
Moshi unapanda juu,kifua kinawonder tuu Kukohoa na kubanja tu makohozi na kuugua flu Ila bado sijasanda tu mpaka kifua kikuu kinibariki sanda tu Nashindana na mshindani niliye mpangisha ndani...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Akiwa hai...Mchwa ndio chakula chake... Akifa tu...Mchwa humla yeye.. Lipo somo kubwa sana hapa.. TUSIJIDANGANYE KABISA .... Muda na Hali zinaweza kubadilika wakati wowote ule!! Usimdharau wala...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
KDA wakishirikiana na wajanja wachache wameanza njama za kuwatapeli wananchi maeneo pembezoni mwa barabara baada ya kujifanya kubadili barabara ambayo wahusika wengi wakiwa hewa wameshalipwa na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kuuliza ukipata ajali ya Gari na Gari yako imegongwa natakiwa nifanyaje ili nipate haki yangu?. Jana nilipata ajali eneo la kimara baruti baada ya Lori la mafuta (teller la nyuma) kukatika...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kundi la Nyani lavamia makazi ya wananchi wa Kitongoji cha Nganyangila, Kyela na kubeba sufuria za chakula kilichopikwa. Kutoka Tanzania Daima
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Nimemsikiliza Roma Mkatoliki akihojiwa na Millard Ago kwa takribani dakika 35 lakini amekataa kata kata kueleza alikuwa anahojiwa nini! Ameeleza tukio zima la yeye na Monie,Bin laden na Imma...
1 Reactions
114 Replies
14K Views
Mwezi December 2012 Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi /Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilizima rasmi mitambo ya analogia na kuwasha ile ya digitali. Kulikuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu watano wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Mtwara kwa kosa la kumvamia na kumshambulia kwa mapanga Hakimu wa Mahakama ya wilaya ya Masasi Halfani Saidi Ulaya na kumsababishia kifo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
TPA nikatí ya tahasisi za mwanzo kuendesha zoezi la uhakíki wa vyeti mpaka mwezi wa 9/2016 wafanyakazi zaidi ya 500 walikwisha bainika kua navyeti feki lakini mpaka sasa wapo kazini
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naamini wanajamvi mpo kama kawaida pamoja na machungu mengi tunayopitia tunazidi kupambana na hali zetu. Uchokonozi ni neno la kiswahili linaloshabihiana na upekepeke. Katika jamii yoyote ile...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wanaJF! Uhakiki umechosha kwa watumishi wa umma umechosha sasa loooh! Tutatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo: 1. Kitambulisho cha NIDA 2. Kitambulisho cha kazi 3. Salary slip Imechosha...
8 Reactions
266 Replies
44K Views
Yaani risasi 38 zote unamiminia binadamu mwenzako?
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Niwausalama barabarani kituo cha nanyamba MTR.wanachokifanya ni usanii wa kitoto.Huwa hawayasimamishi mabasi yapitayo eneo lao..mabasi yafikapo vituo vya jirani huwatumia bodaboda kupeleka fedha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Utafiti uliofanywa na wasomi wa Chuo kikuu cha Nottingham nchini uingereza ulibaini kuwa sisi watanzania ndio vinara wa kuwa wanafiki duniani nini maoni yako.
8 Reactions
118 Replies
11K Views
Kuna maeneo ambayo zamani palikuwa na njia ya kukatisha, mengine ni barabara zilizo zoeleka kwa muda mlefu cha ajabu anakuja mtu anajenga na kuziba njia yenyewe na viongozi wa mitaa husika wapo...
0 Reactions
2 Replies
741 Views
Nakumbuka siku hiyo mtukufu Rais alipiga simu clouds 360 nakumchangia yule binti kipepeo aliyekuwa haoni mil 10 , mwafunzi wa mzumbe university, clouds 360 vipi mbona hamtupi majibu kama alipona...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ngependa kufahamu ni mkondo gani inabidi ufwate au watu wa kuwasiliana nao ili kushtaki uendeshwaji wa kazi hatarishi kiafya na kwa mazingira katika makazi ya watu na bila ruhusa maalumu kuna watu...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Ndugu watanzania wenzangu natumai hamjambo? Naomba kujua kama mtu akiwa na mkopo bank, hasa kwa watumishi. Akihitaji kulipa mkopo wote kwa keshi au kwa kuuza kwa kampuni nyingine. Je, atadaiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali imepanga kujenga vitu vya afya mia moja vyenye uwezo wa kutoa huduma ya uzazi kamili kwa mama mjamzito ikiwemo upasuaji wa kumtoa mtoto tumboni katika kipindi cha mwaka mmoja kuanzia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…