Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau nimepata tetesi katika nchi fulani hapa Afrika vijana wa kisasa wanapendelea kukutana kwenye Coffee Bar kwa mazungumzo na kubadilishana mawazo. Inasemekana kuwa hata dating pia kwa sasa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo TATO wamefanya mkutano wao wa Mwaka Wameamua kutoa piki piki zaidi ya 20 kwa ajili ya Doria Polisi na Kujenga kituo cha Kisasa Tourism and Diplomatic Polisi Tourism is number one earn of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandaimba mkoani Mtwara Alois Masau imesema talaka holela katika wilaya hiyo ni chanzo kikubwa cha watoto kukosa malezi bora na hivyo kupelekea watoto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati wale maadui watatu waliotangazwa na Mwl Nyerere hatujamalizana nao. Wamejitokeza kwenye uongozi huu maadui wawili wa nyongeza na hatari sana katika Taifa hili.... NAWATAJA: 1. MAAGIZO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wilma Rudolph Biography.com Athlete, Track and Field Athlete(1940–1994) 5.8K SHARES Track and Field Athlete Birth Date June 23, 1940 Death Date November 12, 1994 Education Tennessee State...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Madaktari 25, kati ya 258 waliokidhi viwango vya kuajiriwa nchini baada ya kushindwa kupelekwa Kenya, wamekataa ajira hiyo wakidaiwa kutaka mshahara mnono na malengo yao ni kuajiriwa nje ya nchi...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM na wakili wa kujitegemea Jonas Nkya afunguliwa RB TAN/RB5114/2017 kwa kosa la Wizi wa kuaminika wa gari aina ya Lexus Harrier lenye namba ya usajili T404 BBP...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mikataba, Makubaliano, Leseni, n.k. za madini za miaka ya nyuma (1998-2010, hata kabla ya Mwaka 1998) inalindwa na Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 na hasa Kipengele hicho cha 116. Almasi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenye taarifa atujulishe ni tatizo gani wamelipata Airtel siku ya Leo?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini wana JF. Maeneo ya Bunju A kumekuwa na shida ya maji ya DAWASCO wiki ya 3 sasa. Tunalazimika kununua maji kutoka maeneo ya mbali na kwa gharama kubwa. Mwenye kujua pengine kuna matatizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni huku mbezi kwa Msuguli hapa SM lodge ,a.k.a Kwa Mgaya,watu wasiojulikana wamemkamua uhai dereva wa bodaboda ambaye kumbe kazi yake kubwa ilikuwa ni wizi wa pikipiki.Walimtandika moto mwili...
3 Reactions
26 Replies
8K Views
Sheikh Ponda amesema yeye ni kiongozi mkuu wa kuokoa mali za Waislamu hivyo atahakikisha mali zote za Waislam zilizoporwa zinarejeshwa mikononi mwa Waislam. Amesema zoezi hilo lina anzia kwa...
2 Reactions
90 Replies
15K Views
Nilipoteza kitambulisho cha mpiga kura jee naweza kupata kingine? kwasababu kuna mambo mengi sana inatakiwa niwe na hicho kitambulisho lakini nakua sina Vp kuhusu kitambulisho cha taifa pia...
0 Reactions
12 Replies
15K Views
Wandugu za asubuhi ,great thinkers help me, ni kwamba ni kawaida huwa naacha Pesa ktk bahasha chumbani ya matumizi ya kila siku cha ajabu huwa nikicheki inapungua 10000 kama noti niza elfu10 na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wale wabishi maofisini hivi kwanini mtu asote kwenye bench 2 days au mpaka usukumwe? Unayo nafasi ya kujirekebisha isijirudie tena. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
811 Views
Wanajamvi nipo hapa Korogwe kwa zaidi ya nusu saa hakuna gari inayoenda wala kutoka Kimara, watu ni wengi kiasi hata kusogeza mguu huwezi. ------Updates----- tramadol said, Kuna ajali mbaya ya...
5 Reactions
93 Replies
21K Views
Ukweli ndo huo Kama una king'amuzi cha antenna ambacho inakubidi ulipie ndo uone local channels bila hivyo huwez kuona ujue unaibiwa sana tu Kisheria zinapaswa zionekane bure kama wanavyofanya...
6 Reactions
64 Replies
8K Views
Kutokana na taarifa hali ya Kamanda Lissu tete ipo haja ya maombi ya taifa kumuombea Lissu. Maombi yafanyike uwanja wa jangwani na ykujumuisha madhehebu yote. Mwenyezi Mungu mnusuru Lissu.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom