Duu. Pombe ni balaa jamani..

Duu. Pombe ni balaa jamani..

Pombe iliyochanganywa na Methane(DAB) achana nayo kabisa.Isipokuua unaishia kuwa kipofu au kupata ulemavu wa maisha.Nahisi hii imetengenezwa na ile dawa yakuoshea maiti.
 
Hatari sana, God will punish those who were behind this assassin attempt
 
Back
Top Bottom