TAKUKURU mulikeni Polisi hawa wa Nanyamba

TAKUKURU mulikeni Polisi hawa wa Nanyamba

mperembi

Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
35
Reaction score
18
Niwausalama barabarani kituo cha nanyamba MTR.wanachokifanya ni usanii wa kitoto.Huwa hawayasimamishi mabasi yapitayo eneo lao..mabasi yafikapo vituo vya jirani huwatumia bodaboda kupeleka fedha tsh 5000 kwa hao polisi ambao Mara nyingi husimama jirani na kituo cha polisi...mabasi hayo yafanyayo safari kati ya MTR na newala hupita bila kukaguliwa yakiwa na abiria waliosimama na mengi ni mabovu na hayana seat belts.hao polisi husinzia chini ya mwembe wakisubiri tozo hizo haramu huku maisha ya abiria yakihatarishwa.,fuatilieni pccb haka kamchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah aisee kweli na siku nyingine ukiona hivyo toa taarifa kwa kupiga simu
 
Niwausalama barabarani kituo cha nanyamba MTR.wanachokifanya ni usanii wa kitoto.Huwa hawayasimamishi mabasi yapitayo eneo lao..mabasi yafikapo vituo vya jirani huwatumia bodaboda kupeleka fedha tsh 5000 kwa hao polisi ambao Mara nyingi husimama jirani na kituo cha polisi...mabasi hayo yafanyayo safari kati ya MTR na newala hupita bila kukaguliwa yakiwa na abiria waliosimama na mengi ni mabovu na hayana seat belts.hao polisi husinzia chini ya mwembe wakisubiri tozo hizo haramu huku maisha ya abiria yakihatarishwa.,fuatilieni pccb haka kamchezo

Sent using Jamii Forums mobile app


Hicho kikosi kimekuwa kama tambara bovu, kuna usanii mwingi sana, wakati umefika inatakiwa mkuu wa hicho kikosi aondolewe kazi imemshinda, mabasi yanajaza abiria kupita viwango vilivyowekwa, askari wanaingia kukagua wanapewa tip wanaondoka, je tuamini kuwa kikosi hicho kipo kwaajili ya kuwaneemesha hao askari na wakubwa wao na siyo kulinda usalama wa raia wanaosafiri?
 
Mnataka watukamate ili mfurahi sio
 
Kwakweli TAKUKURU wanalala mno, yani wao wanakaa ofisini tu eti waletewe taaarifa za rushwa na wasamaria wema huko ofisini ndipo wazifanyie kazi. Huo ni uzembe wa hali ya chini sana.
 
Back
Top Bottom