Ningependa kufahamu ni mkondo gani inabidi ufwate au watu wa kuwasiliana nao ili kushtaki uendeshwaji wa kazi hatarishi kiafya na kwa mazingira katika makazi ya watu na bila ruhusa maalumu.
Kuna...
Nimefuatilia kwa maovu yanayotendeka nchini mwetu kwa hawa watu wasiojulikana kuchukua uhai wa watu bila sababu nikakumbuka kwamba ndiyo maana Mungu aliumba jehunum kuwaadhibu watu kama hawa maana...
Huenda ukawa unadaiwa madeni mengi na unaona nivigumu kwako kukabiliana nayo moja kwa moja, usiogope jaribu njia mbadala za kuweza kukabiliana na madeni hapa.Zifuatazo ni baadhi ya njia zitakazo...
Miaka ya nyumba zamani zangu hawa watu wenda walikuwepo sikuwa nawafuatilia au hawakuwepo kabisa.
Sikuwahi kuona kibao cha dalali wa nyumba/Viwanja/vyumba...
Sikuwahi kusikia mtu akilipa pesa ya...
Habarini wana jukwaa... Niende kwenye mada... Mimi ni mkaz wa maeneo ya kibaha.. Kumekua na tabia isiyo njema inayofanywa na polisi wanaofnya patrol ktk barabara ya morogoro hasa maeneo ya kwa...
Habari wanajamii,
Tafadhali naomba kuwasilisha kwa mtu yeyote ambaye anajua au kufahamu kuhusu mradi wa Mji mpya Kigamboni Je, bado upo? Kama ni ndio unaanza lini? Utaratiabu wa fidia kwa...
Hivi majuzi niliposti Uzi juu ya tanesco kusini kuzorotesha uchumi kwa kukata kata umeme takriban Mara kumi kwa siku moja
Wenyewe walijibu wakitaka niwabainishie in maeneo gani hasa yenye...
Habari za leo wakuu,
Jana Mhe. Mrisho Gambo, mkuu wa mkoa wa Arusha alitembelea Ngaramtoni kwa ziara ya kikazi.
Mi naomba Mhishimiwa uwe unakuja kuja huuku ili tuwekewe lami kabisa. Maana kuja...
Hivi hili tukio LA afisa mstaafu wa jw kupigwa risasi ni ujambazi wa kuwania Mali au ndo miongoni mwa wanaowashwawashwa
Sent using Jamii Forums mobile app
habari zenu wakuu.
nimejaribu kufikiria kidogo, nikapiga mahesabu na mwishowe ninapata jibu la undefined.
hivi tunapo sema tanzania ya viwanda tunakuwa tunamaanisha viwanda vya aina gani? je...
Katika makala ya mwisho jana nilionesha jinsi nadharia ya fremu (framing theory) inavyoweza kutusaidia kuwajua "WATU WASIOJULIKANA" katika kuwatambua waliomdhuru mwanasheria wetu mahiri Tundu...
Mkazi wa Mwakuhenga Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga NGALAMI DELEFA (25) anashikililiwa na jeshi la Polisi kwa Tuhuma ya kumpiga kwa Fimbo GEORGE LINGWA (21) na kusababisha kifo chake.
Taarifa...
Muda huu madereva wa magari yanayofanya safari za Kibaha wako kwenye mgomo.
Sababu ni mgogoro wa nauli baina yao na SUMATRA na askari wa usalama wa barabarani.
Hali ni tete watu ni wengi...
Wrangles threaten Dar-EU fishing deal
By WILFRED EDWIN
Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
Internal disagreements between the Tanzania mainland and the Isles government of Zanzibar...
Tahadhari kwetu sisi madereva, wa magari ya abiria na magari binafsi na watumiaji wa vyombo vya moto kwa ujumla.
Usifanye kosa halafu ukakutana na polisi kama huyu, huyu afande ni balaaa...
Nimepita hapo jioni hii kuna lori la mafuta lilokuwa linaelekea nchi nyingine (transit) mbele kidogo mita chache baada ya kuvuka mataa ya bucha naona wananchi wasiopenda usalama wao wako na vidumu...
Lori lenye namba za usajili T483BHZ lililokuwa likisafirisha mafuta kuelekea nje ya nchi limepata ajali baada ya kuigonga gari ndogo aina ya Toyota IST yenye namba T727CVM eneo la Kimara Bucha...
Mchungaji Anthony Lusekelo ameandika ujumbe huo kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii na kusema kuwa mbona watu hao hawakuonekana kulaani mauaji ya Kibiti au kuitisha maombezi baada ya watu...
Ni ajabu wewe kila kitu unatafuta jinsi ya kuteka pesa iwe kiharali ama kwa mizengwe. Sie watumiaji wa Azam TV tuna vifurushi vyetu 3 ambavyo kwa idadi ya chaneli zote zilizopo zitapatikana pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.