Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge aliyetaka wabunge wanawake kutoa ushahidi wa wanaume waliotahiriwa Wanavyonogesha tendo la ndoa huyu hapa mbunge aliyetaka wabunge wanawake kutoa ushahidi wa wanaume waliotahiriwa...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Ukitaka kuwahi tembea peke yako, ukitaka kufika mbali nendeni wengi. Maisha hukupa aina ya marafiki aina tatu iliufike pale unapotaka kufika but asilimia kubwa hatujui au hatujaamua kuchunguza ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Askofu Dr. Stephen Munga wa K.K.K.T dayosisi ya kaskazini mashariki ameandika waraka mzito kwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akimweleza asiogope...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Takriban wiki moja sasa tokea tukio la Mbunge wa singida masharika na Rais wa TLS Mh.Tundu Lissu kupigwa risasi ambazo zilikuwa na mlengo wa kumuua.Baada ya tukio hilo yenye sura ya assasination...
21 Reactions
130 Replies
14K Views
Kama wewe ni mkazi wa Morogoro au umeshawahi kupitia hapo mkoani sema hapa kitu gani ambacho kilikuvutia au umekifeel sana kutoka mkoani Morogoro. Na mliopo Morogoro kama nyumbani tukutane hapa...
12 Reactions
221 Replies
52K Views
Serikali imeshindwa kutulinda wananchi wake? Tumeongea sana kuhusu hali ya usalama nchini hivi sasa hairidhishi lakini tumeepuuzwa. Hivi afe nani mpaka serikali iamke usingizini? Alianza alphonce...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Habari wana JF, Tanzania ni nchi ambayo tumebahatika kuwa na rasilimali nyingi sana. Tumshukuru Mungu kwa hili. Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni gesi asilia. Wakuu nataka kujua vipi hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamaa sijui alidhani anataka kutumbuliwa
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Pamoja na kutumia gharama kubwa na pesa nyingi za walipa kodi wa nchi hii. Mwenge una madhara makubwa kwa jamii hasa katika suala la maambukizi ya ukimwi. Katika vijiji ambavyo mwenge unapolazwa...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Paine Field News: VP-CSC / LN19 Performed Taxi Tests only today
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Wadau nimekua nafuatilia ukurasa wa THT kwenye Facebook. Lakini toka juzi naona umeanza kubadilika kutoka kuwa NGO sasa wanajiita THT Media na wanaonekana ni a Media and Productuion House. Wale...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Matajiri wa Tanzania na jinsi walivyopata mali zao. Kuna mtu asiyetajwa?
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Hizi faini mbona huku Arusha na Kilimanjaro hatupewi risiti tunapokamatwa askari? Wanachukua fedha halafu wanatupa karatasi nyeupe. Hiyo imekaaje wanajamvi. Nawasilisha. Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
BREAKING: Tamko la haki za binadamu kuhusu hali ya usalama nchini
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna traffic police wawili wameng'ang'ania cash ya faini H2072 na mwenzake mrefu balaa mwembambaaaaaaa alafu mweusi kweli sema yeye namba yake kaificha ndani ya mfuko Wa shati Nawasilisha Sent...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
wakuu habar zenu..natafuta kampuni inayo dili na mambo ya website designing ..kama mwenye kuzijua izo kampuni naomba anijuze
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gazeti la mwananchi baada ya kujificha kwa muda mrefu na agenda zake za uchochezi, sasa hivi limejipambanua kama gazeti la watu binafsi wanaopinga agenda za nchi na sasa Kila siku linaibuka na...
4 Reactions
115 Replies
10K Views
Tuesday, 20 September 2011 20:30 Nora Damian HATIMAYE Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi (IGP), Omar Mahita amekubali kumhudumia mtoto aliyezaa na mtumishi wake wa ndani, Rehema Shabani. Hatua...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Familia ya watu kumi ya Philemon Ishebea mkazi wa Bangwe mjini Kigoma inalala nje kwa zaidi ya wiki moja sasa baada ya nyumba yao kudaiwa kuuzwa katika mazingira yenye utata na kusababisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza natanguliza pole ya dhati kwa masahibu yaliyomkuta Mh. Tundu. Kiukweli kama inavyosemekana kuw a zilimwagwa risasi zaid ya 28 kuelekea alipo yeye, kuwa mzima ni kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom