Ujenzi holela Kurasini, viongozi husika mko wapi?

Ujenzi holela Kurasini, viongozi husika mko wapi?

morikali

Member
Joined
Jul 4, 2017
Posts
10
Reaction score
6
Kuna maeneo ambayo zamani palikuwa na njia ya kukatisha, mengine ni barabara zilizo zoeleka kwa muda mlefu cha ajabu anakuja mtu anajenga na kuziba njia yenyewe na viongozi wa mitaa husika wapo kimya, kama leo nimepata usumbufu maeneo ya Kurasini njia niliyo pita mbele imefungwa sijui mipango miji wako wapi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom