Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kutokana na taarifa hali ya Kamanda Lissu tete ipo haja ya maombi ya taifa kumuombea Lissu. Maombi yafanyike uwanja wa jangwani na ykujumuisha madhehebu yote. Mwenyezi Mungu mnusuru Lissu.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
jumamosi iliyopita nliamua niende kusema na wana kinoclan. ni kitambo kidogo nilikuwa sijatia maguu pande hizo kutokana na minyukano ya maisha na mieleka tunayocheza nayo. nikaona nimenyuti muda...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Samahani sana kwa wale wasiopenda kusikia mtu au watu wengine wakipata sifa ama kusifiwa!! Baada ya kuona maandiko na comment nyingi za watu humu JF zinazoonyesha kumchukia Mh Rais nikatafakari...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Sikutaka kuandika chochote kuhusiana na shambulio la binadamu mwezangu Tundu Lissu kwani nilikuwa bado natafakari sana miaka 9 ijayo Tanzania itakuwa katika muonekano upi. Kilichonisukuma...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
HABARI: Lori limepinduka jirani na Mto Wami na kusababisha msongamano wa magari yanayotoka na kuelekea Dar es Salaam
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Wakuu , hii mnaweza kuiona kama Masihara vile , lakini uchunguzi nilioufanya jijini DSM , Jiji linaloaminika kuongoza kwa unywaji wa maji ya chupa ( maji safi ) , unaonyesha kwamba biashara ya...
10 Reactions
64 Replies
8K Views
Habari wakuu! ningependa kufahamu ofisi za TVE zilipo,nashida ya ki offoce mwenye kupafahamu naomba anielekeze! Asante! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waafrika tumezaliwa na silika ya unafiki na kulipenda jambo baada ya kulikosa. Inawezekana hii ni silika ya binadamu wote, ila mimi kwa uzoefu wangu watanzania tunakipenda kitu baada ya kupotea...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Inaonekana waliotamani Lissu afe labda walidhani propaganda zao kwamba jamaa ni msaliti wa nchi zinakubalika kwa wanajamii, la hasha majitu haya yenye roho mbaya kama shetani yalikuwa wrong...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Sasa hivi, kinachoendelea ni figisufigisu, lawama, mizengwe, kutoaminiana nashutuma na kusubiri mtu ajikwae ili alaumiwe watanzani, tuanze upya, tuipe serikali muda wa kufanya kazi, nini kifanyike...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello JF, Leo nilikua na wazo, Wajitokeze kila Forum, watu waliobebea kwenye fani, either kwa Elimu ama Experience, wajiunge as Verified Users. Atakae wadharau au kutumia lugha ya kebehi kwao...
12 Reactions
86 Replies
5K Views
Tarehe kama ya leo miaka 52 iliyopita ardhi ya Tanganyika ilipata baraka kubwa baada ya kupata mtoto aitwae freeman Aikael Mbowe! Mheshimiwa Mbowe amekuwa na muono wa mbali sana kuhusu taifa...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Kampuni ya simu inayoongoza nchini, Vodacom , imeyahamisha makazi yake ambayo yalikua katika eneo maarufu dsm liitwalo Mlimani City. Sababu ya kampuni hiyo kuhamisha makao yake makuu inasemekana...
2 Reactions
54 Replies
16K Views
Habarini wanajamvi! Samahanini nina tatizo au shida kidogo imenitokea hapa! Juzi nilinunua TV (Samsung flat screen) wakaniambia ina king'amuzi ndani na wakaitest palepale na kweli channel nyingi...
1 Reactions
43 Replies
11K Views
Mwanza. Tafiti zinaonyesha vifo 247,976 vimetokea kwa miaka 10 katika hospitali mbalimbali hapa nchini, huku magonjwa ya malaria, maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua, Ukimwi, upungufu wa damu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi na chama changu cha NRA,tunaungana na watanzania wote tunalaani MATUKIO ya mashambulizi ya kutumia silaha, yaliyotokea hapa nchini. MATUKIO hawa yanafanywa na watu wasioitakia mema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtengenezaji Saruji wa pili barani Afrika, Dangote Cement, katika kiwanda chake cha Mtwara mambo si kuntu kwani kimejaa matatizo mengi yanayotokana na uongozi mbovu na aina isiyozoeleka ya...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
ICAP inapima HIV na vipimo vingine kundi maalumu la watumiaji wa madawa ya kulevya wilaya ya Temeke toka miezi kadhaa iliyopita. ICAP Temeke hakikisheni wote walipimwa na kukutwa na maambukizi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom