Je, ulipwaji wa Riba ya mikopo ya Bank unategemea muda wa mkopo au kiasi cha mkopo uliochukuliwa

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Ndugu watanzania wenzangu natumai hamjambo?

Naomba kujua kama mtu akiwa na mkopo bank, hasa kwa watumishi. Akihitaji kulipa mkopo wote kwa keshi au kwa kuuza kwa kampuni nyingine. Je, atadaiwa na riba halisi ya muda ambao mkopo ungekoma?

Yani mfano; Nimekopa bank abc Tsh. 5,800,000 kwa miezi 72, na tayari nimelipa miezi 21, makato Tsh. 205,000 kwa mwezi. Je, endapo nitaamua kulipa au kuuza mkopo huu watanikata hadi riba yote ya miaka 6 (Miezi 72)?

Asnateni wakuu. JF home for great thinkers!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nasubiri hapa hapa wajuvi wakujibu ili na mimi ninufaike manake inaonekana tupo kwenye issue inayofanana.
 
Back
Top Bottom