Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Akiwa hai...Mchwa ndio chakula chake...
Akifa tu...Mchwa humla yeye..
Lipo somo kubwa sana hapa..
TUSIJIDANGANYE KABISA ....
Muda na Hali zinaweza kubadilika wakati wowote ule!!
Usimdharau wala Kunyanyasa yeyote kwenye maisha muda wowote ule.
UNAWEZA KUWA NA NGUVU LEO...LAKINI KUMBUKA
MUDA una nguvu KULIKO WEWE!!
Kuwa Mwema...TENDA WEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app