Nimewaza tuu kwa kinywa maana najua ni mabest sana tangu kitambo lakini kwa sababu ni uhuru na hawaivani sana kutokana na zile sababu za kulalamikia tanzania kuwa kuna kituo cha ukokotoaji wa...
Habari za muda huu wanajukwaa pendwa kabisa la JamiiForums, natumai mko poa, kwa ambao hamko poa poleni sana..
Nikienda moja kwa moja kwenye mada ya leo, ningependa kuwashirikisha mbinu kadhaa za...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza ajira za walimu wa shule za msingi kwa walimu ambao wamemaliza masomo yao mwaka 2014/2015...
Tuache kunyoosheana vidole na matusi twende hatua baada ya hatua, tukio la uhalifu linapotokea kama lengo ni kuwakamata wahalifu **** kikosi ama mtu anaitwa 1st person at the scene huyu anakuwa ni...
Imethibitishwa rasmi kwamba Mgodi wa Williamson Diamond uliopo Mwadui Shinyanga unazalisha karat 230,000 kila mwaka.
Hivyo dhamani ya madini hayo kwa kiasi hicho pekee ni dola za marekani milioni...
Ni wazo nzuri sana ila tuwe tuna panga. Najua hela ipo ila tuende kwa mpangilio, rais wetu katoa agizo wahusika wangekaa nalujadili, pesa itapangia lini kwaajiri ya huwu mradi.
Sijui, au zikua...
1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume)
2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui
3) Anatumia muda mwingi...
Kutokana na agizo la rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli juu ya kulizungushia wigo eneo muhimu lizalishalo madini ya Tanzanite huko Mererani, sasa helikopta za Jeshi...
Watangazaji hawa ni shida nilidhani wamekosea mara moja tu, lakini wamerudia zaidi ya mara 3 kumtambulisha John Mongela ya kwamba ni mkuu wa mkoa wa jiji la Mwanza.
Usahihi John Mongela ni mkuu...
Mko salama watu wangu..
Naomba nijadili kwa ufupi tu hilo neno hapo juu. Nimegundua kuwa binadamu wengine ni vulnerable (rahisi kuumia) kuliko wengine. Kuumia huku ni kwa aina tofauti mfano...
1 usafili kwa walimu bure dar
2 viungo bandia kwa walemavu
3 ujenzi w mabweni kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza
4 kuwekakamera za Cctv mji mzima
.......leo luninga magerezani na viwanja kwa...
Dar es salaam. Watu 36 wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kuhusika kufanya vurugu eneo la bonde la Jangwani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Salum Hamduni amesema leo Alhamisi kuwa bomoabomoa...
Kweli kila jambo lina mwanzo na mwisho wake. Kwasasa abiria kabla hajapanda bodaboda cha kwanza anakuuliza kama una kofia ngumu (helmet) ili umpe aivae kama hauna huyo abiria atatafuta bodaboda...
Kuna hatari ya usalama wa afya za wasafiri kwenye Hoteli hizi mfano wake ni hii Aljazeera iliyopo Iringa Ruaha Mbuyuni ambayo vyoo vyake ni vichafu chakula kinaandaliwa kiholela na hakina udhibiti...
Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyoondoka saa 12. 00 asubuhi Dar es salaam kwenda Bukoba kupitia Mwanza, imekwama jijini Mwanza baada ya kupata hitilafu.
Kuharibika kwa ndege hiyo...
Muda si mrefu nimepata message hii.
"Salio lako jipya ni TSh 803. Umetuma pesa kwa Wakala - JULIANA TEMU, kiasi TSh 9,500., Ada TSh 800. VAT TSh 122. Kumbukumbu No.: 8906777047702. 21/09/17...
Waungwana habari?
Kunamtu kaniambia kuwa serikali kupitia utumishi imetoa tanganzo kwa wahitimu wa ualimu mwaka 2015 kutuma maombi kabla ya tr 04 ya mwezi ujao.
Naomba kwa mwenye taarifa sahihi...
Wakuu nisiwachoshe sana. Mnakumbuka mamlaka ya Mapato Tanzania ilitoa makadirio ya kodi ya miaka 17 yanayotimia Trilioni 424 kwa ACACIA.
Napenda kusema kwamba hawa jamaa nawafahamu walivyo.
Huwa...
Kichekesho, TTCL inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe.
Mmmeamua kuingia kwenye biashara ya usindani, lakini hamna dalili zozote za kuonyesha kuwa mko tayari kuwa the giant and leading company in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.