RC Dar es Salaam kutoa runinga 30 kwenye magereza ili wafungwa kufuatilia yanayojiri

itigi2014

Senior Member
Dec 14, 2014
106
31
1 usafili kwa walimu bure dar
2 viungo bandia kwa walemavu
3 ujenzi w mabweni kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza
4 kuwekakamera za Cctv mji mzima
.......leo luninga magerezani na viwanja kwa watumishi wa umaa......asante mkuu
 
Habari wakuu

Mh Paul makonda amehaidi kutoa television 30 kwa magereza ya DSM ili wafungwa wapate access ya kufatilia kinachojiri nchini.

Vijana oyeeeeeewweeee
 
Kwanza aboreshe hali ya magereza na aboreshe hali za askari wa magereza......ziende sambamba na TV set....!! Wanabinya uhuru habari na demokrasia hadi bungeni wanajikomba kwa wafungwa!!! Wale wana madai mengi ya msingi hasa ucheleweshaji kesi na upelelezi wa kipuuzi sio kukos habari....zitawasaidia nini wanasota bila kesi kusikilizwa???? Angeuliza madai yao yenye kipaumbele!! Sifa zingine banaa!!!Bashite jianda akitoka huyo bwana misifa wewe jela
 
..wapate kufatilia matukio...yakiwemo kupiga watu wsio na hatia risasi na kuvamia vituo vya TV...na kubambika watu kesi za madawa ya kulevya.....pasi kusahau utekaji wa watu wasio na hata...haya matukio ni muhimu yajulikane hadi magerezani....haswa wahusika wake...
 
Hakuna kitu nachochukia kama kuona wahalifu wakiboreshewa huduma.

Itafika pahala gerezani pataonekana sawa tu na uraiani kwa hiyo hata ile hofu ya kufungwa gerezani itapotea kabisa hasa kwa wale wasio na muelekeo mzuri wa kimaisha.
 
Jamaa Ana mipango mingi mizuri ila kabla hajamaliza kashadandia jingine.

1.CCTV DAR.
2.Industrial Area -Zawadi ya Abkaru.
3.Yard Area Kigamboni.
4.Ofisi za walimu.
5.Viwanja kwa watumishi wa Umma.
6.Vitanda hospitali
7.kutibiwa bure
8.walimu daradara free.
9.Kutengeneza magari ya Polisi.
10.Tv kwa magereza nchi nzima
11.Kuondoa mashino kwenye barax2
12...................

Namshauri aanze moja akimaliza aje jingine,kufanya jambo Juu ya jambo ndio kufail kwenyewe.
 
Kabisaa tuone kimoja kimeisha na outcome yake ndo aende kwenye nyingine
 
Hivi anapata wapi access( financial ) kwa vyanzo vipi vya mapato?...

Mtawaburuza wakina bashite wenzenu tu
Zile pesa alizotaka kuzitoa mega Jacob kwa cuf ili wamshughulike lipumba alitaka kutoa wapi?? Kwa vya vipi vya mapato??
 
Kwanza aboreshe hali ya magereza na aboreshe hali za askari wa magereza......ziende sambamba na TV set....!! Wanabinya uhuru habari na demokrasia hadi bungeni wanajikomba kwa wafungwa!!! Wale wana madai mengi ya msingi hasa ucheleweshaji kesi na upelelezi wa kipuuzi sio kukos habari....zitawasaidia nini wanasota bila kesi kusikilizwa???? Angeuliza madai yao yenye kipaumbele!! Sifa zingine banaa!!!Bashite jianda akitoka huyo bwana misifa wewe jela
Ukiona hivyo kuna kila dalili ya kutaka kubadili katiba na kuruhusu wafungwa kupiga kura, kwa Tanzania kura za wafungwa zote zitakua ni mtaji wa ccm wameshaona mtaani Yohana hakubaliki tena kutokana na hali ya maisha hivyo wanahaha kutafuta kura za kuzibia zibia
 
Back
Top Bottom