Nimekuwa nikisikia nadharia kadhaa kuhusu eyelid kupepesa kwa namna isiyo ya kawaida. Mojawapo ya nadharia hizo ni kuwa jamii zingine zinaamini kuwa ukiona jicho la kushoto likiwa linapepesa...
Basi kampuni ya Kisumapai limepata ajali maeneo ya Nangombo wilayani Nyasa ikitokea Mbinga.Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha huku zoezi la uokoaji likiendelea.
Taarifa zaidi zitawajia
Watu...
Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Dk. Philip Mpango akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa uuzaji hisa za Maendeleo Bank PLC. Pamoja nae kutoka kushoto ni Askofu Ambele Mwaipopo, Askofu Mkuu wa...
Waathirika wa madawa ya kulevya aina ya Heroin walioamua kuacha na kuingia Katika tiba mbadala ya Methadone Katika hospitali za Mwananyamala, Temeke na Muhimbili wamekuwa wakilalamika kuhusu dawa...
Naongelea hizi BIKO, TATU na madudu gani sijui.. Hivi kwanini washindi wa mwanzo lazima watoke Dar!! Watu wa mikoani hawachezagi!! Au ndiyo kusema ni rahisi kuwapanga watu wa Dar ili kuleta...
Salute.
Kuna Mtanzania alikuwa anatumia account ya Tanzagiza (Fb) ni kipindi sasa hajawahi kutupia kitu chochote zaidi ile account vijana wa chama Fulani wanaitumia sana kupost vitu vyao.
Hofu...
Why some western intellectuals are trying to debrutalise colonialism
The author explains why he resigned from the editorial board of the
journal after it published an apologia for colonialism.
by...
Jeshi la polisi wilaya ya Tarime mkoani Mara linamtafuta mwanamke mmoja kwa tuhuma za kumchoma moto mwanae wa darasa la pili na kumsababishia majeraha makubwa
Baba wa mtoto huyo Machungu Mwita...
Habari za leo wanajamvi,kuna utata naupataga kwenye hili swala,labda wajuzi wa sheria za usalama barabarani watatusaidia,....
Mara nyingi inajulikana kuwa ukigonga gari lingine kwa nyuma inakuwa...
Nimeangalia hii picha ila sijapata maana halisi ya uvaaji wa huyu afisa kwenye mkutano wa umoja wa mataifa kuhusu global warming
Hii ni picha ni ya mda kidogo na inawezekana baadhi yenu...
Habari za wakati huu wana JF.
Kwanza niseme kuwa Mimi ni mdau wa BIMA ya afya NHIF,na nimekuwa kwa wakati tofauti tofauti tangu 2003 nikipokea matibabu kupitia BIMA hii.
Nawapongeza kwa...
Kwa yeyote Aliyewahi kusoma stereochemistry,pale udsm na kama ushawahi kufanya research kubwa kubwa za organic chemistry tumeondokewa na nguli wa stereo chemistry aliyewahi kuwa moja ya wataalamu...
Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine zaidi ya 50 wamenusurika kifo baada ya basi la kampuni ya KIDIA ONE lililokuwa linatokea Dar-es-salaam kuelekea Mwanza kugonga ng'ombe majira ya saa sita...
Wanasayansi wamekuwa wakitengeneza chembe chembe za kinga ya mwili zinazoweza kushambulia asilimia 99% ya virusi vya HIV vinavyosababisha ukimwi na hivyo kuzuwia maambukizi kuendelea.
Chembe...
Habarini za mihangaiko? Kazi ni kazi na popote kambi
Natanguliza dua za kumuombea m Tanzania mwenzetu Tundu Antpass Lissu Mungu amfanyie wepesi [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]...
Imezoeleka Ulaya kusikia depopulation kwakua wazungu hawapendi kuzaana kama sisi waafrika. Lakini hata Tanzania mkoa wa Kilimanjaro kuna vijiji havina watoto wanaozaliwa tena.
Inasemekana "Wondo...
Mda mrefu sikuwepo katika anga za JF,
sasa nimerudi rasmi nimekuja na wazo mnisaidie wazee, nataka kutengeneza parachuti kwa kutumia turubai ngumu kisha niitumie kuruka nayo angani nikitembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.