Kodi ya mapato ACACIA shilingi Trilioni 424 tusikubali negotiation!!

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,665
Wakuu nisiwachoshe sana. Mnakumbuka mamlaka ya Mapato Tanzania ilitoa makadirio ya kodi ya miaka 17 yanayotimia Trilioni 424 kwa ACACIA.
Napenda kusema kwamba hawa jamaa nawafahamu walivyo.

Huwa wanakuja kwa gea ya ku negotiate ili riba (tax interest) ipungue. Ukiwakubalia ukaipunguza na wakapata amended assessment wanakwenda mahakamani.

Huwa ni dangaya toto kujifanya kana kwamba wanataka kukubali lakini ukishawakubalia hicho kiwango mlichokubaliana usidhani watakilipa bali watakimbilia mahakamani.

Namwomba Rais amagufuli wakija kwa gea ya kupunguziwa asikubali maana hiyo ndio janja yao.

Nawasilisha.
 
Naunga mkono hoja. Hadi tupate Noah zetu.
 
Mtasubiri mpaka atakapokuja mwana wa Mungu , hakuna cha fidia wala Noah.

Mikataba na sheria mlipitisha kwa maslahi ya wachache na wawekezaji.

Wazungu si mazuzu.
 
Back
Top Bottom