kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 514
Ni wazo nzuri sana ila tuwe tuna panga. Najua hela ipo ila tuende kwa mpangilio, rais wetu katoa agizo wahusika wangekaa nalujadili, pesa itapangia lini kwaajiri ya huwu mradi.
Sijui, au zikua zilishatengwa huko nyuma na hazijatumika ndo zina anza leo kutumika. Lakini kama ndo limeanzishwa ghafla, basi sio sahihi.
Sijui, au zikua zilishatengwa huko nyuma na hazijatumika ndo zina anza leo kutumika. Lakini kama ndo limeanzishwa ghafla, basi sio sahihi.