Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Embu fikiria jinsi baadhi ya wamarekani walivyomuonaga Barack obama si lolote wala chochote kisa tu jamaa polite wakamuona very weak hata hapa ndani memba maarufu aitwaye Nyani Ngabu alikuwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika halisi ya kutokuamini macho yangu Majambazi mawili ya kiwa na pikipiki yamepora pesa kwenye gari T450 atd mitsubish pick up. Ktk ya njiapanda ya Ghana str na Ohaio jirani kabisa na Makao...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Ebu wadau wa elimu nisaidie hili Asubuhi ninemsikia mkuu wa mkoa wa mwanza amealikwa kwenye uzinduzi wa ebook program kwenye shule ya secondary pamba Mwanza Kwa nnavyoewa mm ebook program ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana-JF Ni kwa muda mrefu tumesikia lawama za juu ya elimu ya Tanzania kutokuwa na viwango na ni mbovu,na mara nyingi lawama zote zimeelekezwa kwa walimu maana wao ndiyo wako karibu na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu[emoji23] nikaribisheni jukwaani
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Watu 13 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Katonga wilayani Mpiji nchini Uganda. Ofisa wa polisi wa Katonga, Philip Mukasa amesema ajali hiyo...
6 Reactions
181 Replies
39K Views
Anachambua mswada wa sheria! Hasa kipengele cha hati ya dharura
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The government’s decision to sack National Stadium manager Rishiankira Urio has drawn mixed reactions from Young Africans and the Tanzania Football Federation, TFF. Yanga, the Kagame Castle Cup...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa kuwa Dodoma inatarajiwa kuwa mji mkubwa Wa kibiashara na wa mfano, ninashauri mplan eneo kubwa kwaajili ya kupokea bidhaa mbalimbali za mazao na viwandani...Soko hilo lijengwe mapema ili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni kwanini allion, INA kodi kubwa kuliko premio? Binafsi ninapenda muonekano wa allion, je kuna tofauti? Yeyote? Mapungufu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hapa manzese utapeli wa waziwazi wanajifanya kuna mchezo wa bahati nasibu unachagua namba ya bahati unaposhinda unapewa pesa no wizi ambao serikali unaujua kuanzia ngazi ya wilaya mpaka ngapi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwakweli Nilipenda Sana KaulinYa Mhe. Nape Mpka Sasa Huwa Najiuliza Je.? Huwa Anajutia Au Huwa Anafurahia..? Kauli Hii..?
4 Reactions
8 Replies
2K Views
salaam... leo nimekutana na hizi intel ambazo zinaonesha ni asilimia ngapi ya pato la taifa ambayo imewekezwa katika elimu kwa nchi zilizo endelea. France: 5.6% UK: 5.5% US: 5.5% Germany: 4.5%...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Imetokeo maeneo flani ni miez kadhaa imepita na wahusika wapo ndani Iko hiv.... Katka kijiji flani ilitokea Mama aliyejfungua alienda kuomba mihogo katka shamba la jiran yake Mama X, jirani huyu...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Kwa utafiti Mdogo niliofanya n kua Kenya ina idadi kubwa zaidi ya gays kuliko nchi nyingine za East Africa!!... Hasa wengi wakitokea Mombasa Na Nairobi Ikumbukwe kua Google walishatoaga riport...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Watalaamu wa afya wanashauri sana kwa ajili ya afya zetu.Unaweza kutazama kupitia picha hii namna ya kunawa mikono
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Kama kuna mtu anaifahamu vizuri historia ya NUWA atujuze.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimetafakari sana juu ya tamko la kujengea ukuta migodi ya Tanzanite Arusha Kuna mambo ya kujiuliza kuhusiana ya hili jambo Je, Migodi mingine ambayo kuna wizi wa madini nayo itajengewa ukuta...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanabodi, Tanzania tuna Hospitali yoyote inatoza gharama za tiba kwa siku milioni 10 kwa mgonjwa mmoja? Nimeuliza tu nataka kujua!!!!
5 Reactions
208 Replies
22K Views
Pongezi kwa JWTZ ambao wamemudu sana kuthibiti tatizo la vitambi kwa wanajeshi wake. Najiuliza vipi majeshi mengine haswa POLISI? Vitambi vimenawiri sana, kulikoni? Majeshi yetu yanapaswa kuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom