Hizi kweli zinaweza kuwa kuwa dalili za mke msaliti katika ndoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi kweli zinaweza kuwa kuwa dalili za mke msaliti katika ndoa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shada, Mar 25, 2011.

 1. S

  Shada Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume)
  2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui
  3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki
  4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za ndani bila kumshirikisha mume
  5) Anakuwa akitegemea zaidi ushauri kutoka nje kwa watu wengine zaidi ya mumewe
  6) Anaacha kuvaa pete ya ndoa bila sababu
  7) Anapopigiwa simu akiwa karibu na mumewe anaizima au kwenda kupokelea nje
  8) Anakuwa hajali tena mambo ya familia na hujiamulia mambo yake mwenyewe
  9) Ni rahisi sana kusema ‘nipe talaka yangu’ inapotokea kutofautiana hata kwa jambo dogo.
  10) Dharau na kejeli kwa mume hujionyesha waziwazi
   
 2. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmmh!:A S-coffee:
   
 3. semango

  semango JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hilo jibu mkuu,wala huna haja ya kuumiza kichwa......piga chini fasta kabla hujauwawa bure
   
 4. P

  Puza Senior Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mhh yataka uvumilivu kumbe.........................
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yalaaaaaa! Mwache haraka sana!
   
 6. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,279
  Likes Received: 907
  Trophy Points: 280
  Hizo ni dalili tosha za kutokuwa muaminifu ktk ndoa
   
 7. s

  sawabho JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Yaani huyo mwanamke ambaye anatumia hizo mbinu atakuwa sio mzima unless katika uhusiano wa boyfriend na girlfriend lakini ktk ndoa hizo mbinu haziwezi kutumika labda kwa mume ***** kwani ni very simple kugundulika.
   
 9. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wa kwangu kuna siku alikuwa anavaa shanga asubuhi akienda kazini na wakati wa kulala usiku anakuwa hana.
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ushaibiwa mkuu!
   
 11. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,047
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hizi ni dalili za mwanamke mjinga asiyejua nini maana ya maisha
   
 12. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Duu pole. Nimeshasikia habari za lunch time. Unafikiri wife yupo kazini kumbe lunch time anamaliza. Mkuu inauma lakini ushaibiwa.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,455
  Likes Received: 28,294
  Trophy Points: 280
  Na anaweza akawa msaliti pasipo hizo dalili....hahahaa haya mambo bwana...yasikie kwa wengine tu!!!
   
 14. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mdau hii ya kwako funga kazi. Ha ha ha ha ha!
   
Loading...