Je, huu ni wizi mpya wa mtandao?

Je, huu ni wizi mpya wa mtandao?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,898
Reaction score
15,126
Muda si mrefu nimepata message hii.

"Salio lako jipya ni TSh 803. Umetuma pesa kwa Wakala - JULIANA TEMU, kiasi TSh 9,500., Ada TSh 800. VAT TSh 122. Kumbukumbu No.: 8906777047702. 21/09/17 11:48."

Meseji hii imetumwa na namba 0716 777 571.

Mimi sijamtumia mtu salio lolote.

Je huu ni wizi mpya kutumia mtandao.
 
Usishughulike na hizo namba wala sms, shughulika na salio kama lipo vizuri
 
Muda si mrefu nimepata message hii.

"Salio lako jipya ni TSh 803. Umetuma pesa kwa Wakala - JULIANA TEMU, kiasi TSh 9,500., Ada TSh 800. VAT TSh 122. Kumbukumbu No.: 39068047732. 21/09/17 11:48."

Meseji hii imetumwa na namba 0716 777 571.

Mimi sijamtumia mtu salio lolote.

Je huu ni wizi mpya kutumia mtandao.
mdau ebu cheq salio uone kama limepungua afu unijulishe cus ata m iyo hali ilinikuta, lengo ni kusaidiana
 
Hao ni watuwasiojulikana wanataka kufanya yao
 
Muda si mrefu nimepata message hii.

"Salio lako jipya ni TSh 803. Umetuma pesa kwa Wakala - JULIANA TEMU, kiasi TSh 9,500., Ada TSh 800. VAT TSh 122. Kumbukumbu No.: 39068047732. 21/09/17 11:48."

Meseji hii imetumwa na namba 0716 777 571.

Mimi sijamtumia mtu salio lolote.

Je huu ni wizi mpya kutumia mtandao.
UNAIBIWAAAAA
 
Kuna kapuuzi kanataka kukuingiza jau..dawa ya Tapeli ni Tapeli..namba imesomeka we acha wajuzi wa mambo watamfanyizia na yeye atakuja hapa kuomba ushauri.
 
Sasa unatuuliza sisi tutajuaje?
We si uangalie salio bwana.
Hebu acheni utoto jamani.
We angalia salio
Salio liko poa, na nimeuliza Voda kwa namba yao Huduma kwa Wateja no 100, wameniambia inaelekea kuna jaribio la kutapeli lakini hawataweza.
Nimeposti hii ili wadau mjue kna michezo, na nimejaribu namba hiyo hakuna jibu, inaita tu!!
 
Back
Top Bottom