Kuna ukweli wowote juu ya hili?

Kuna ukweli wowote juu ya hili?

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
1,031
Reaction score
1,900
Waungwana habari?
Kunamtu kaniambia kuwa serikali kupitia utumishi imetoa tanganzo kwa wahitimu wa ualimu mwaka 2015 kutuma maombi kabla ya tr 04 ya mwezi ujao.
Naomba kwa mwenye taarifa sahihi atujuze,hsanteni.
 
Wakishindwa kuajili watu ikae kimya kuliko kuweka vigezo visivyo mAana hay maneno c ya leo tu
 
Huyo mwalimu wa 2014/51 mpaka leo bado anawasubiri wao tu watangaze ajira
 
Back
Top Bottom